Mama yangu Ndalichako tueleze unajenga nini?

DullyJr

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
9,879
2,000
Assalaaaam....

Nafikiri taarifa zitafika tu panapohusika...kusema haki mpaka mda huu bado sijaelewa unachokijenga katika elimu yetu hii ya kuungaunga.

Hakuna asiyejua kwa maneno na kwa vitendo ya kuwa ajira za walimu kwa sasa zimekuwa ngumu hasa kwa upande wa walimu wa masomo ya sanaa,na ikafika kipindi mkasema kuna walimu mpaka wa ziada wa masomo hayo.

Sasa kinachonitatiza ni vipi bado mnadahili walimu hawa kwa wingi kupitiliza kama vile nchi ina uhaba mkubwa wa walimu hawa?
Si mungewadahili kidogo tu kutokana na kutokuwa na kilaombele kwasasa?au mmewaandalia nini?waje kulia na kusaga meno watakapomaliza?

Pointi yangu ya msingi ipo kwa walimu hawa wa diploma ktk masomo ya sanaa mumewachukua wengi kushinda hata miundombinu ya vyuo vyenu?wanafikia kulala wawiliwawili ktk madeka kweli?
Nini mumewaandalia walimu hawa?

Hamzingatii magonjwa wanayoweza kuambukizana?hamzingatii hata majanga mengine ya kimaadili kwa vijana hawa?mumedahili watu wazima wengine wana ndoa zao kisha munakuja kuwalaza wawiliwawili kitandani kweli?

Halafu ajira zenyewe hakuna?
Mambo mnayofanyaga huko ktk mawizara muda mwingine hata mtoto wa std 7 hawawezi kufikiria hivyo....
 

SODOKA

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,665
2,000
kwani course zingine mfano community development mbona wanadahili kuanzia ngazi ya Cheti ,diploma mpaka degree na ajira zake hazipo serikalini moja kwa moja .......acha kukariri wewe uliamua kusoma ualimu ili uajiriwe kwa sababu unataka kuajiriwa .......course ya ualimu wa sanaa haiwez kuacha kuchukua watu kila mwaka kwa kigezo cha kufutwa kwa ajira ...
 

DullyJr

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
9,879
2,000
kwani course zingine mfano community development mbona wanadahili kuanzia ngazi ya Cheti ,diploma mpaka degree na ajira zake hazipo serikalini moja kwa moja .......acha kukariri wewe uliamua kusoma ualimu ili uajiriwe kwa sababu unataka kuajiriwa .......course ya ualimu wa sanaa haiwez kuacha kuchukua watu kila mwaka kwa kigezo cha kufutwa kwa ajira ...
Tuliza kipele
 

shalet

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
3,340
2,000
dogo una akiri ndogo sana kila mtu ana dahiliwa kozi aliyoomba sio kua serikali ina uhitaji na nyie
 

elius john

New Member
Dec 20, 2016
2
20
Perception without concept is blind and cencept without perception is nothing ,you can collect many concept but without structuring them are meaningless ,DOGO back to school
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom