Ishu nikwamba, yeye hana access ya kuingia humu. Ila ukiniambia ujumbe utakuwa umefika> The boss
Huyo mchumba wa binti ana umri gani?? inawezekana kabisa kwamba huyo mwanaume ni mkubwa kiumri kiasi cha kuonekana anatifi vizuri kwa mama mtu...Naombeni mchango wenu wana jf ili niweze msaidia huyu rafiki yangu. Anaitwa jane ni rafk yangu yapata miezi 5. Lakini juzi amenistajabisha aliponipa habari hii ya kusisimua, "mama yangu anamtaka mchumba wangu". Nilistuka sana kusikia hivyo. lakini nilijaribu kumuuliza yeye anaushaidi gani kuhusu jmbo hilo akasema hivi, nanukuu "mika ndio ameniambia na namumini xana hawezi kunidanganya hata siku moja, hususana kwa jambo kama hili" na pia akasema siku hizi mama yake amekua akimkaripia kuhusu mahusiano yake. Nilijaribu kumshauri lakini inaonekana amesha athirika kisaikolojia, imefiki kiasi kwamba anamchukia mama yake kupita kiasi. Ushauri wenu tafadhali. Maoni yangu: jamani akina mama na baba zetu tunao tamani wapenzi wa watoto zetu hamuoni mnakosea. Hebu tuweni na haya hata kidogo jamani basi kwa sababu haileti picha nzuri kwa family hata jamii. Tubadilikeni
Naombeni mchango wenu wana jf ili niweze msaidia huyu rafiki yangu. Anaitwa jane ni rafk yangu yapata miezi 5. Lakini juzi amenistajabisha aliponipa habari hii ya kusisimua, "mama yangu anamtaka mchumba wangu". Nilistuka sana kusikia hivyo. lakini nilijaribu kumuuliza yeye anaushaidi gani kuhusu jmbo hilo akasema hivi, nanukuu "mika ndio ameniambia na namumini xana hawezi kunidanganya hata siku moja, hususana kwa jambo kama hili" na pia akasema siku hizi mama yake amekua akimkaripia kuhusu mahusiano yake. Nilijaribu kumshauri lakini inaonekana amesha athirika kisaikolojia, imefiki kiasi kwamba anamchukia mama yake kupita kiasi. Ushauri wenu tafadhali. Maoni yangu: jamani akina mama na baba zetu tunao tamani wapenzi wa watoto zetu hamuoni mnakosea. Hebu tuweni na haya hata kidogo jamani basi kwa sababu haileti picha nzuri kwa family hata jamii. Tubadilikeni
Umefanya vzur kuwataja kwa majina
Umenikumbusha tukio la ndugu yangu mmoja. Alikuwa na bf tena mume wa mtu. Bf anampiga na kuuza vitu vyake vya ndani kama tv na redio. Dadake akaambiwa akaanza kumuonya mdogo mtu na akamconfront mwanaumr. Mwanaume alimuambia gf wake dadako ananitaka na nimemkataa. Huyo shosti alijitenga na familia nzima, na alipigwa hadi kufa!
Yaani unamuamini mwanaume over your mother! Kua uyaone maghorofa na fly overs
Naombeni mchango wenu wana jf ili niweze msaidia huyu rafiki yangu. Anaitwa jane ni rafk yangu yapata miezi 5. Lakini juzi amenistajabisha aliponipa habari hii ya kusisimua, "mama yangu anamtaka mchumba wangu". Nilistuka sana kusikia hivyo. lakini nilijaribu kumuuliza yeye anaushaidi gani kuhusu jmbo hilo akasema hivi, nanukuu "mika ndio ameniambia na namumini xana hawezi kunidanganya hata siku moja, hususana kwa jambo kama hili" na pia akasema siku hizi mama yake amekua akimkaripia kuhusu mahusiano yake. Nilijaribu kumshauri lakini inaonekana amesha athirika kisaikolojia, imefiki kiasi kwamba anamchukia mama yake kupita kiasi. Ushauri wenu tafadhali. Maoni yangu: jamani akina mama na baba zetu tunao tamani wapenzi wa watoto zetu hamuoni mnakosea. Hebu tuweni na haya hata kidogo jamani basi kwa sababu haileti picha nzuri kwa family hata jamii. Tubadilikeni
Umeongea ukweli tupu! tatizo ni kwamba wadada wa kisasa hawawezi kabisa kugundua uongo wa wanaume! kwanza huyo mwanaume anaanzaje kukuambia uchafu km huo? ni kwamba anataka kukugombanisha na mama yako! hapo hakuna mwanaume hapo! labda mwanaume anajua wazi kuwa mama wa binti ana data zake chafu, na amejua mama anaweza kumpa data mwanae,so anatengeneza mazingira wagombane na wachukiane ili bi dada akipewa data aone mama muongo anamtaka bwanake!