Mama yangu ana matatizo sana, anavuruga familia yetu

Aaaah wapi best, watu wanaigiza wewe!

Mi kuna marafiki kibao wazazi wao wanazinguana nao lakini cheki status insta kama mc pilipili
Hahahah mi kwa matukio ya maza sinaga hata mudi ya kumpost maana sina cha kujimwambafai nae, mama si kuingia leba tu na kupush Kuna vingine muhimu vinakamilisha heshima ya kuwa mama,,
 
Atabaki kuwa mama aliekuzaa lakini nahisi bibi ndio ungempa kipaumbele zaidi wewe na dada yako shikamaneni yawezekana mama maisha yanampa stress ndio mana anakua hivo mchukulie hivohivo na madhaifu yake

Usiweke ukaribu naye, siku moja moja mpigie msalimie hata akigoma kupokea mtumie tu msg mama nilikua nakusalimia, usiache kumjulia hali sio kila siku mpe nafasi ile mjulie hali usiache kumtunza bibi yako.
Kwani akiamua kumpotezea mama yake huyo na kutokumjulia hali atakuwa anavunja sheria gani au anatenda dhambi gani ilihali mama yake mwenyewe huyo ndo kama ulivosoma hapo.......kama mama mwenyewe aweza ishi bila mwanae hvo hvo kwa mwanae
 
Exactly, mambo muhimu hasa upendo, sasa mama unakuwa na upendeleo kwa mtoto fulani, sasa si ungemzaa huyo huyo tu

Hii tabia ya kupendelea watoto fulani ni mbaya sana. Bi mkubwa alikua na tabia ya kupendelea watoto wa kiume, kwa sasa chamoto anakiona. Watoto wa kiume hakuna hata mmoja anayempa hata shilingi, hata akiugua hawajigusi kupiga simu. Ni watoto wa kike tu ndo wanaomtunza. Anajilaumu kila siku
 
POLE SANA KWA CHANGAMOTO MKUU ILA MAANDIKO YALIANDIKA MWANAMKE MARA NYINGI NDO HUWA ANAIBOMOA FAMILIA YAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE

Ukweli usiokwepeka ni kuwa huyo bado ni Mama yako na atabaki kuwa Mama yako, cha msingi usiweke sana ukaribu nae zaidi ya salamu na kumsadia pale anapohitaji msaada wako, mengine NADHANI anaestahili kuyakabili ni Bibi yako ambaye kwa hili yeye ndio namuona kachukua nafasi ya Mama zaidi hata ya huyo Mama yako.
Tatizo wa MAMA wanajiona bora zaid
 
Wakuu Poleni na Songombingo la Ma Headmaster January hii.

Wakuu nakuja mbele yenu kupata busara zenu na namna mnavyoshughulikia Changamoto za kifamilia.

Mimi ni kijana wa miaka 34 ambaye ni mwajiriwa kwenye moja ya kazi zinazoheshimika tu japo kwenye mshiko hazina issue kivile. Lakini ni wale vijana ambao tumepitia njia ngumu sana hadi kutoboa. The Kigwangalas Style.
Changamoto yangu nitailezea katika vipengele vitatu

1. Baba yangu
2. Mama yangu
3. Mimi na Mama

1. Baba yangu

Mzee wangu alikuwa mwajiriwa kwenye moja ya majeshi hapa nchini. Baada ya Vita na Nduli aliacha kazi na baadae kwa sababu ambazo hadi leo hazieleweki akaondoka na kuwaacha Dada zangu watatu, mimi nikiwa bado tumboni. Kwa Mara ya kwanza nilionana naye nikiwa Chuo Kikuu mwaka wa pili na baada ya kuonana Mzee alichosema ni hiki "Mwanangu sina Cha kusema zaidi ya kuomba tu Msamaha".

Baada ya hapo Mzee amekuwa rafiki yangu, tunapiga stori vizuri tunashauriana na nimemuunganisha na Dada zangu japo hawajafanikiwa kuonana lakini wote wanampenda na tunaganga yajayo, nao pia aliwaomba Msamaha. Kiufupi Mzee ni mtu mpole na kila mtu huwa anajiuliza ilikuwaje akachukua maamuzi yale.

2.Mama

Baada ya Mzee kuondoka na kuonekana na hakuna dalili za Mzee kurudi, Mama alituchukua na kuturudisha kwa bibi anayemzaa na hapo ndipo tumekulia wote wanne, nimesomea hapo hadi napata kazi.

Na bahati bibi na Babu hawakuwahi kupata mtoto wa kiume, walizaa watoto watatu na Wote wa kike na wote walikuwa wameolewa, hivyo pale sisi ndio tukawa watoto.

Baada ya hapo Mama alienda kwenye Moja ya miji mikubwa kwa lengo la kutafuta riziki na akawa anakuja Mara Moja moja, wakati anaondoka mimi nilikuwa ndio nimeacha ziwa, nikabaki na bibi. Kuanzia hapo sikuwahi kukaa na Mama kwa wakati mmoja zaidi ya mwezi.

Mwanzoni mambo yalienda vizuri kwa mama kwenye biashara kipindi cha Mzee Ruksa, baadae alivyoingia Mzee wa ukweli na uwazi Mambo yakawa magumu. Mama akawa hawezi tena kutoa msaada wowote, baadae naye akawa kama ametuacha hakuna anachosaidia.

Bibi akabaki ndio kila kitu, baada ya Mambo kuwa magumu mwaka 2010 akarudi nyumbani akiwa na nauli tu, mimi nilikuwa mwaka wa kwanza. Baada ya kurudi pale kwa Bibi ambapo palikuwa Jerusalem pakaanza kuwa pachungu.

3. Mimi na Mama

Kutokana na hali ya kulelewa na bibi nilijikuta naanza shule nikiwa na miaka 9 na hapa ilitokea bahati siku mtoto wa mwalimu jirani yetu anapelekwa kuandikishwa ilinikuta nipo kwao na mimi nikaunga tela nikaandikishwa, nyumbani wakapewa taarifa wanunue sare na daftari. Lakini pia nikajikuta nakuwa karibu Sana na Bibi kuliko Mama, lakini pia ilichangiwa na Tabia ya Mama kwa hata huo muda mdogo aliokuwa akikaa ilikuwa ni kutugombeza tu muda Wote.

Mwaka 2002 nilimaliza darasa la saba na nikafaulu kwa kiwango kizuri tu na nikachaguliwa kwenda Mazengo Sekondari kipindi hicho lakini kulingana na Mazingira ya nyumbani nilishindwa kwenda. Ndugu na jamaa wakapambana na nikapelekwa shule ya kutwa hapo hapo katani ambayo ilikuwa kama shule ya tarafa hivi. Swala hili liliniathiri Sana ukizingatia nilikuwa sijawahi fika Mjini lakini pia pale wenzangu waliofanikiwa kwenda Mwenge na Kigoma Sekondari waliporudi likizo nilikuwa naumia Sana. Nikiwa kidato cha II nilifanya Soo na kadada kamoja kidogo kapoteze maisha na Mimi nilikamatwa na kupelekwa Polisi issue ile iliuisha kwa Bibi kuuza eneo. Lakini baada ya soo hako kabinti niliendelea kukagonga na mwaka 2006 wakati namaliza kidato Cha IV nako kalikuwa kanajifungua mtoto wa kike.
Nikamaliza nikiwa Mshua.

Swala hili limekuwa ndio fimbo ya kunichapia hadi leo, utafikiri nimeua mtu.
Matokeo yalivyotoka nikawa nimefaulu Tena na kupangwa Tabora Boys na baadae kwenda chuo Kikuu. Wakati Wote huo si Mama Wala Baba walikuwa na habari. Ni Bibi alikuwa ananisaidia na baadae kuanzia 2004 Sista baada ya kupata kazi ya Ualimu.

Kama nilivyosema mwaka 2010 Mama alirudi na kaanza kunifatilia, watu waliokuwa wananisaidia saidia akawakataza akidai natumia fedha vibaya kwani Chuo tunapata fedha nyingi Sana.

Kumbuka nilikuwa nasoma kozi Moja ngumu na yenye gharama na chuo chetu kilikuwa hakina strong Library. Kwahiyo Bumu ndio nikawa natumia kulipa ada, accomadation na Mambo mengine. Baadae nilimaliza chuo nikakaa mtaani five years na kwa muda Wote huo nilikuwa napambana on my ways, si Mama Wala Mzee alitaka kujua nipo wapi na nafanya nini!

Mwaka 2018 nilipata kazi nikaenda kijijini, ili kupata baraka za Bibi na Mama. Wakati ananiaga aliniita, akanieleza kuwa anajua nina mtoto na huyo mtoto hataki kumuona hapo nyumbani. Lakini wakati ananieleza haya alikuwa anamlea mtoto wa Dada yangu ambaye naye hana tofauti na wangu. Nikapiga moyo konde. Nikajiapiza kuwa kila mwezi lazima Bibi na Mama niwatumie fedha, namshukuru nilifanya hivyo kwa miezi minne mfulilizo.

Sasa kwakuwa umri ulikuwa umesogea na kwakuwa najifahamu napenda Sana chini, nikaona namna pekee ya kukwepa hili ni kutafuta Mchumba, nivyowashirikisha Mama bila hata kumuona akasema huyo Mwanamke hamtaki lakini akadai nimewahi kuoa. Lakini pia mtoto baada ya kumaliza darasa la 7 nikampeleka kidato cha kwanza Mama akawa hataki.

Kuanzia hapo akasema hata fedha zangu hataki tena na nyumbani nisikanyange. Tukaendelea kuishi hivyo nikawa naenda home kwa kulazimisha nikimpa fedha anakataa, ila Bibi akawa anapokea. Mimi na mke wangu Sasa tuna mtoto ana mwaka 1 na miezi 4 lakini sijawahi kumpeleka nyumbani kwakuwa Mama alisema hataki kumuona mke wangu wala huyo mtoto.

Sasa juzi Kuna mtoto wa Dada yangu nilikuwa namsomesha, yule mtoto shule kila siku napigiwa simu anasumbua alivyofunga nikamtumia nauli aende kwa Mama. Alipofika huko ameongea Mambo mengi mabaya kuhusu Mimi. Kwakuwa Mama tulikuwa hatuko in good terms akamuamini bila hata kuniuliza.

Nikamshirikisha Sista kwakuwa naye anamfahamu huyo mtoto ana matattizo akanishauri wakati wa kufungua shule nisitume kwanza nauli na matumizi ili kwanza ajifunze na ikiwezekana Mama amuonye kwanza. Mama kaja juu, anasema kwanini wa kwangu nimemtumia nauli ya kwenda shule na wa Dada nimeacha, amesema anampleka yeye mwenyewe shule na atamsomesha ila baada ya hapo atakuja ninakofanyia kazi ili nimlipe fedha alizotumia kunisomeshea.

Kuongezea Mama amegombana na watoto wote isipokuwa sista mkubwa ambaye naye hawakutani Mara kwa Mara. Kisa cha kugombana na sista ni kwamba baada ya Sista kufiwa na mme alimshauri auze nyumba kwenye moja ya miji mikubwa ambapo ndipo anaishi arudi mkoani na watoto, Sista akakataa, ndiyo ukawa ugomvi na wakati Hilo linatokea Sista alikuwa na mwezi Mmoja amefiwa na Mume, hadi leo hawaongei alimwambia ngoja aone kama hao watoto ataweza kuwalea.

Ndugu zanguni wazazi Kama Hawa mnawakabili vipi na busara ipi mnatumia.
Mniwie radhi andiko ni refu na mtiririko hauvutii!
Ishi na bibi vizuri. Huyo mama msaidie kupitia bibi yako lakini kata kabisa stori nae. Iwapo anakuzuia kumlea mwanao wa kumzaa halafu anataka umlee mpwa wako hiyo ni akili? Kwani ulimpa mimba dada ako? Kikubwa kata mawasiliano na yeye na mwisho baki na bibi. Nakuhakikishia mwaka mmoja ni mrefu, atakutafuta mwenyewe.

Kuna wazazi wanaboa sana
 
Nakwambia dogo akifanikiwa mama yake atamuua, note me.

Huyo mama siyo, hafai, tena atakuwa mchawi.
 
Ndugu @ummtama mula, kwanza nikupe POLE kaka, kwa haya mazito uliyoyabeba moyoni kwa kipindi chote hiko.

Na la pili, NIKUPONGEZE kwa ujasiri huu uliokuwa nao, uliokupelekea wewe kufika hatua ya kuja hapa jukwaani na kufunguka hayo mazito uliyoyabeba moyoni kwa muda mrefu. Kwanini nasema huo ni "ujasiri", kwasababu UKWELI ni kwamba aina hiyo ya changamoto ya mzazi tena wa kike, imekumba vijana wengi sana katika jamii zetu hizi za kiafrika. Lakini 85% ya vijana hao wamebaki wakilia na kusononeka kwa uchungu vyumbani kwao, huku wakishindwa hata kutoka nje na kuongea kwa uwazi yanayowasibu, ili waweze kusaidiwa. Na hii yote imetokana na kasumba iliyopo kwenye jamii zetu, kuona wazazi hasa wa kike ni WATAKATIFU SANA, hivyo kijana chochote atakachokieleza juu ya *****, ataishia kuenekana yeye ndio mpumbavu na wengine watafika mbali zaidi na kumuona kama kalaanika! Wahanga wa hii psychological torture ni wengi sana.

Ila la tatu, naomba nikupe ASANTE kubwa kama ilivyo hapo, maana umenigusa au kunisemea moja kwa moja, ingawa tunatofautiana kwa kiasi fulani.

Kiukweli nami pia nina changamoto kama yako ya mzazi, tena afadhali wewe unaye baba, dada na bibi wa kukufariji.
Mwenzio hapa nilipo faraja yangu ni mke wangu tu. Maana baba, bibi na babu walishatanguliaga mbele za haki over ten years ago, wadogo zangu nao ndio tumesha sambaratishwa kila mmoja kona yake (hakuna maelewano) na ndugu nao ndio hawashikiki. Yaani taflani tupu....

Ila yote na yote, maisha lazima yaendelee kaka. Kikubwa ni kumuomba Mungu atufanyie wepesi, huku tukizidi kupambana na harakati zetu za kimaisha, ingawa mioyo inavuja damu. Kama kuna siku kutatokea mabadiliko, basi tutashukuru kwa hilo.

Ila kwa upande wako, kama asilimia kubwa ya wadau walivyokushauri humu, kwamba wewe jitoe kwa anayehitaji mkono wako. Nami nakazia hapo hapo, haya masuala mengine..... jitaidi kuyaweka kando, kumbuka TUNAISHI MARA MOJA TU.

Tchao.
 
Hii tabia ya kupendelea watoto fulani ni mbaya sana. Bi mkubwa alikua na tabia ya kupendelea watoto wa kiume, kwa sasa chamoto anakiona. Watoto wa kiume hakuna hata mmoja anayempa hata shilingi, hata akiugua hawajigusi kupiga simu. Ni watoto wa kike tu ndo wanaomtunza. Anajilaumu kila siku
Umeona sasa? Yaan ndivyo walivyo mpaka unashangaa
 
Wakuu Poleni na Songombingo la Ma Headmaster January hii.

Wakuu nakuja mbele yenu kupata busara zenu na namna mnavyoshughulikia Changamoto za kifamilia.

Mimi ni kijana wa miaka 34 ambaye ni mwajiriwa kwenye moja ya kazi zinazoheshimika tu japo kwenye mshiko hazina issue kivile. Lakini ni wale vijana ambao tumepitia njia ngumu sana hadi kutoboa. The Kigwangalas Style.
Changamoto yangu nitailezea katika vipengele vitatu

1. Baba yangu
2. Mama yangu
3. Mimi na Mama

1. Baba yangu

Mzee wangu alikuwa mwajiriwa kwenye moja ya majeshi hapa nchini. Baada ya Vita na Nduli aliacha kazi na baadae kwa sababu ambazo hadi leo hazieleweki akaondoka na kuwaacha Dada zangu watatu, mimi nikiwa bado tumboni. Kwa Mara ya kwanza nilionana naye nikiwa Chuo Kikuu mwaka wa pili na baada ya kuonana Mzee alichosema ni hiki "Mwanangu sina Cha kusema zaidi ya kuomba tu Msamaha".

Baada ya hapo Mzee amekuwa rafiki yangu, tunapiga stori vizuri tunashauriana na nimemuunganisha na Dada zangu japo hawajafanikiwa kuonana lakini wote wanampenda na tunaganga yajayo, nao pia aliwaomba Msamaha. Kiufupi Mzee ni mtu mpole na kila mtu huwa anajiuliza ilikuwaje akachukua maamuzi yale.

2.Mama

Baada ya Mzee kuondoka na kuonekana na hakuna dalili za Mzee kurudi, Mama alituchukua na kuturudisha kwa bibi anayemzaa na hapo ndipo tumekulia wote wanne, nimesomea hapo hadi napata kazi.

Na bahati bibi na Babu hawakuwahi kupata mtoto wa kiume, walizaa watoto watatu na Wote wa kike na wote walikuwa wameolewa, hivyo pale sisi ndio tukawa watoto.

Baada ya hapo Mama alienda kwenye Moja ya miji mikubwa kwa lengo la kutafuta riziki na akawa anakuja Mara Moja moja, wakati anaondoka mimi nilikuwa ndio nimeacha ziwa, nikabaki na bibi. Kuanzia hapo sikuwahi kukaa na Mama kwa wakati mmoja zaidi ya mwezi.

Mwanzoni mambo yalienda vizuri kwa mama kwenye biashara kipindi cha Mzee Ruksa, baadae alivyoingia Mzee wa ukweli na uwazi Mambo yakawa magumu. Mama akawa hawezi tena kutoa msaada wowote, baadae naye akawa kama ametuacha hakuna anachosaidia.

Bibi akabaki ndio kila kitu, baada ya Mambo kuwa magumu mwaka 2010 akarudi nyumbani akiwa na nauli tu, mimi nilikuwa mwaka wa kwanza. Baada ya kurudi pale kwa Bibi ambapo palikuwa Jerusalem pakaanza kuwa pachungu.

3. Mimi na Mama

Kutokana na hali ya kulelewa na bibi nilijikuta naanza shule nikiwa na miaka 9 na hapa ilitokea bahati siku mtoto wa mwalimu jirani yetu anapelekwa kuandikishwa ilinikuta nipo kwao na mimi nikaunga tela nikaandikishwa, nyumbani wakapewa taarifa wanunue sare na daftari. Lakini pia nikajikuta nakuwa karibu Sana na Bibi kuliko Mama, lakini pia ilichangiwa na Tabia ya Mama kwa hata huo muda mdogo aliokuwa akikaa ilikuwa ni kutugombeza tu muda Wote.

Mwaka 2002 nilimaliza darasa la saba na nikafaulu kwa kiwango kizuri tu na nikachaguliwa kwenda Mazengo Sekondari kipindi hicho lakini kulingana na Mazingira ya nyumbani nilishindwa kwenda. Ndugu na jamaa wakapambana na nikapelekwa shule ya kutwa hapo hapo katani ambayo ilikuwa kama shule ya tarafa hivi. Swala hili liliniathiri Sana ukizingatia nilikuwa sijawahi fika Mjini lakini pia pale wenzangu waliofanikiwa kwenda Mwenge na Kigoma Sekondari waliporudi likizo nilikuwa naumia Sana. Nikiwa kidato cha II nilifanya Soo na kadada kamoja kidogo kapoteze maisha na Mimi nilikamatwa na kupelekwa Polisi issue ile iliuisha kwa Bibi kuuza eneo. Lakini baada ya soo hako kabinti niliendelea kukagonga na mwaka 2006 wakati namaliza kidato Cha IV nako kalikuwa kanajifungua mtoto wa kike.
Nikamaliza nikiwa Mshua😂😂😂😂.

Swala hili limekuwa ndio fimbo ya kunichapia hadi leo, utafikiri nimeua mtu.
Matokeo yalivyotoka nikawa nimefaulu Tena na kupangwa Tabora Boys na baadae kwenda chuo Kikuu. Wakati Wote huo si Mama Wala Baba walikuwa na habari. Ni Bibi alikuwa ananisaidia na baadae kuanzia 2004 Sista baada ya kupata kazi ya Ualimu.

Kama nilivyosema mwaka 2010 Mama alirudi na kaanza kunifatilia, watu waliokuwa wananisaidia saidia akawakataza akidai natumia fedha vibaya kwani Chuo tunapata fedha nyingi Sana.

Kumbuka nilikuwa nasoma kozi Moja ngumu na yenye gharama na chuo chetu kilikuwa hakina strong Library. Kwahiyo Bumu ndio nikawa natumia kulipa ada, accomadation na Mambo mengine. Baadae nilimaliza chuo nikakaa mtaani five years na kwa muda Wote huo nilikuwa napambana on my ways, si Mama Wala Mzee alitaka kujua nipo wapi na nafanya nini!

Mwaka 2018 nilipata kazi nikaenda kijijini, ili kupata baraka za Bibi na Mama. Wakati ananiaga aliniita, akanieleza kuwa anajua nina mtoto na huyo mtoto hataki kumuona hapo nyumbani. Lakini wakati ananieleza haya alikuwa anamlea mtoto wa Dada yangu ambaye naye hana tofauti na wangu. Nikapiga moyo konde. Nikajiapiza kuwa kila mwezi lazima Bibi na Mama niwatumie fedha, namshukuru nilifanya hivyo kwa miezi minne mfulilizo.

Sasa kwakuwa umri ulikuwa umesogea na kwakuwa najifahamu napenda Sana chini, nikaona namna pekee ya kukwepa hili ni kutafuta Mchumba, nivyowashirikisha Mama bila hata kumuona akasema huyo Mwanamke hamtaki lakini akadai nimewahi kuoa. Lakini pia mtoto baada ya kumaliza darasa la 7 nikampeleka kidato cha kwanza Mama akawa hataki.

Kuanzia hapo akasema hata fedha zangu hataki tena na nyumbani nisikanyange. Tukaendelea kuishi hivyo nikawa naenda home kwa kulazimisha nikimpa fedha anakataa, ila Bibi akawa anapokea. Mimi na mke wangu Sasa tuna mtoto ana mwaka 1 na miezi 4 lakini sijawahi kumpeleka nyumbani kwakuwa Mama alisema hataki kumuona mke wangu wala huyo mtoto.

Sasa juzi Kuna mtoto wa Dada yangu nilikuwa namsomesha, yule mtoto shule kila siku napigiwa simu anasumbua alivyofunga nikamtumia nauli aende kwa Mama. Alipofika huko ameongea Mambo mengi mabaya kuhusu Mimi. Kwakuwa Mama tulikuwa hatuko in good terms akamuamini bila hata kuniuliza.

Nikamshirikisha Sista kwakuwa naye anamfahamu huyo mtoto ana matattizo akanishauri wakati wa kufungua shule nisitume kwanza nauli na matumizi ili kwanza ajifunze na ikiwezekana Mama amuonye kwanza. Mama kaja juu, anasema kwanini wa kwangu nimemtumia nauli ya kwenda shule na wa Dada nimeacha, amesema anampleka yeye mwenyewe shule na atamsomesha ila baada ya hapo atakuja ninakofanyia kazi ili nimlipe fedha alizotumia kunisomeshea.

Kuongezea Mama amegombana na watoto wote isipokuwa sista mkubwa ambaye naye hawakutani Mara kwa Mara. Kisa cha kugombana na sista ni kwamba baada ya Sista kufiwa na mme alimshauri auze nyumba kwenye moja ya miji mikubwa ambapo ndipo anaishi arudi mkoani na watoto, Sista akakataa, ndiyo ukawa ugomvi na wakati Hilo linatokea Sista alikuwa na mwezi Mmoja amefiwa na Mume, hadi leo hawaongei alimwambia ngoja aone kama hao watoto ataweza kuwalea.

Ndugu zanguni wazazi Kama Hawa mnawakabili vipi na busara ipi mnatumia.
Mniwie radhi andiko ni refu na mtiririko hauvutii!
Pole sana aiseee naelewa maumivu unayopitia, nimeishi kwenye familia yenye tatizo Kama lako hakika ni changamoto sana. Mama kila kijana ake aioa mama hawakubali wakwe zake atafanya kila mbinu waachane. Watoto wake wamekuwa kila siku ni kuzaa na kila mwanamke na kuwa na idadi kubwa ya watoto wasio na matunzo kabisa lakin chanzo ni mama.
 
Hii tabia ya kupendelea watoto fulani ni mbaya sana. Bi mkubwa alikua na tabia ya kupendelea watoto wa kiume, kwa sasa chamoto anakiona. Watoto wa kiume hakuna hata mmoja anayempa hata shilingi, hata akiugua hawajigusi kupiga simu. Ni watoto wa kike tu ndo wanaomtunza. Anajilaumu kila siku
Sijaona ukijitaja
 
Beba mwanao, bibi yako mumuache na yeye huyo mama apate msoto wa kijijini peke yake km alivowaacha.

Mwambie na wewe umekuja mjini kutafta maisha
 
Wakuu Poleni na Songombingo la Ma Headmaster January hii.

Wakuu nakuja mbele yenu kupata busara zenu na namna mnavyoshughulikia Changamoto za kifamilia.

Mimi ni kijana wa miaka 34 ambaye ni mwajiriwa kwenye moja ya kazi zinazoheshimika tu japo kwenye mshiko hazina issue kivile. Lakini ni wale vijana ambao tumepitia njia ngumu sana hadi kutoboa. The Kigwangalas Style.
Changamoto yangu nitailezea katika vipengele vitatu

1. Baba yangu
2. Mama yangu
3. Mimi na Mama

1. Baba yangu

Mzee wangu alikuwa mwajiriwa kwenye moja ya majeshi hapa nchini. Baada ya Vita na Nduli aliacha kazi na baadae kwa sababu ambazo hadi leo hazieleweki akaondoka na kuwaacha Dada zangu watatu, mimi nikiwa bado tumboni. Kwa Mara ya kwanza nilionana naye nikiwa Chuo Kikuu mwaka wa pili na baada ya kuonana Mzee alichosema ni hiki "Mwanangu sina Cha kusema zaidi ya kuomba tu Msamaha".

Baada ya hapo Mzee amekuwa rafiki yangu, tunapiga stori vizuri tunashauriana na nimemuunganisha na Dada zangu japo hawajafanikiwa kuonana lakini wote wanampenda na tunaganga yajayo, nao pia aliwaomba Msamaha. Kiufupi Mzee ni mtu mpole na kila mtu huwa anajiuliza ilikuwaje akachukua maamuzi yale.

2.Mama

Baada ya Mzee kuondoka na kuonekana na hakuna dalili za Mzee kurudi, Mama alituchukua na kuturudisha kwa bibi anayemzaa na hapo ndipo tumekulia wote wanne, nimesomea hapo hadi napata kazi.

Na bahati bibi na Babu hawakuwahi kupata mtoto wa kiume, walizaa watoto watatu na Wote wa kike na wote walikuwa wameolewa, hivyo pale sisi ndio tukawa watoto.

Baada ya hapo Mama alienda kwenye Moja ya miji mikubwa kwa lengo la kutafuta riziki na akawa anakuja Mara Moja moja, wakati anaondoka mimi nilikuwa ndio nimeacha ziwa, nikabaki na bibi. Kuanzia hapo sikuwahi kukaa na Mama kwa wakati mmoja zaidi ya mwezi.

Mwanzoni mambo yalienda vizuri kwa mama kwenye biashara kipindi cha Mzee Ruksa, baadae alivyoingia Mzee wa ukweli na uwazi Mambo yakawa magumu. Mama akawa hawezi tena kutoa msaada wowote, baadae naye akawa kama ametuacha hakuna anachosaidia.

Bibi akabaki ndio kila kitu, baada ya Mambo kuwa magumu mwaka 2010 akarudi nyumbani akiwa na nauli tu, mimi nilikuwa mwaka wa kwanza. Baada ya kurudi pale kwa Bibi ambapo palikuwa Jerusalem pakaanza kuwa pachungu.

3. Mimi na Mama

Kutokana na hali ya kulelewa na bibi nilijikuta naanza shule nikiwa na miaka 9 na hapa ilitokea bahati siku mtoto wa mwalimu jirani yetu anapelekwa kuandikishwa ilinikuta nipo kwao na mimi nikaunga tela nikaandikishwa, nyumbani wakapewa taarifa wanunue sare na daftari. Lakini pia nikajikuta nakuwa karibu Sana na Bibi kuliko Mama, lakini pia ilichangiwa na Tabia ya Mama kwa hata huo muda mdogo aliokuwa akikaa ilikuwa ni kutugombeza tu muda Wote.

Mwaka 2002 nilimaliza darasa la saba na nikafaulu kwa kiwango kizuri tu na nikachaguliwa kwenda Mazengo Sekondari kipindi hicho lakini kulingana na Mazingira ya nyumbani nilishindwa kwenda. Ndugu na jamaa wakapambana na nikapelekwa shule ya kutwa hapo hapo katani ambayo ilikuwa kama shule ya tarafa hivi. Swala hili liliniathiri Sana ukizingatia nilikuwa sijawahi fika Mjini lakini pia pale wenzangu waliofanikiwa kwenda Mwenge na Kigoma Sekondari waliporudi likizo nilikuwa naumia Sana. Nikiwa kidato cha II nilifanya Soo na kadada kamoja kidogo kapoteze maisha na Mimi nilikamatwa na kupelekwa Polisi issue ile iliuisha kwa Bibi kuuza eneo. Lakini baada ya soo hako kabinti niliendelea kukagonga na mwaka 2006 wakati namaliza kidato Cha IV nako kalikuwa kanajifungua mtoto wa kike.
Nikamaliza nikiwa Mshua.

Swala hili limekuwa ndio fimbo ya kunichapia hadi leo, utafikiri nimeua mtu.
Matokeo yalivyotoka nikawa nimefaulu Tena na kupangwa Tabora Boys na baadae kwenda chuo Kikuu. Wakati Wote huo si Mama Wala Baba walikuwa na habari. Ni Bibi alikuwa ananisaidia na baadae kuanzia 2004 Sista baada ya kupata kazi ya Ualimu.

Kama nilivyosema mwaka 2010 Mama alirudi na kaanza kunifatilia, watu waliokuwa wananisaidia saidia akawakataza akidai natumia fedha vibaya kwani Chuo tunapata fedha nyingi Sana.

Kumbuka nilikuwa nasoma kozi Moja ngumu na yenye gharama na chuo chetu kilikuwa hakina strong Library. Kwahiyo Bumu ndio nikawa natumia kulipa ada, accomadation na Mambo mengine. Baadae nilimaliza chuo nikakaa mtaani five years na kwa muda Wote huo nilikuwa napambana on my ways, si Mama Wala Mzee alitaka kujua nipo wapi na nafanya nini!

Mwaka 2018 nilipata kazi nikaenda kijijini, ili kupata baraka za Bibi na Mama. Wakati ananiaga aliniita, akanieleza kuwa anajua nina mtoto na huyo mtoto hataki kumuona hapo nyumbani. Lakini wakati ananieleza haya alikuwa anamlea mtoto wa Dada yangu ambaye naye hana tofauti na wangu. Nikapiga moyo konde. Nikajiapiza kuwa kila mwezi lazima Bibi na Mama niwatumie fedha, namshukuru nilifanya hivyo kwa miezi minne mfulilizo.

Sasa kwakuwa umri ulikuwa umesogea na kwakuwa najifahamu napenda Sana chini, nikaona namna pekee ya kukwepa hili ni kutafuta Mchumba, nivyowashirikisha Mama bila hata kumuona akasema huyo Mwanamke hamtaki lakini akadai nimewahi kuoa. Lakini pia mtoto baada ya kumaliza darasa la 7 nikampeleka kidato cha kwanza Mama akawa hataki.

Kuanzia hapo akasema hata fedha zangu hataki tena na nyumbani nisikanyange. Tukaendelea kuishi hivyo nikawa naenda home kwa kulazimisha nikimpa fedha anakataa, ila Bibi akawa anapokea. Mimi na mke wangu Sasa tuna mtoto ana mwaka 1 na miezi 4 lakini sijawahi kumpeleka nyumbani kwakuwa Mama alisema hataki kumuona mke wangu wala huyo mtoto.

Sasa juzi Kuna mtoto wa Dada yangu nilikuwa namsomesha, yule mtoto shule kila siku napigiwa simu anasumbua alivyofunga nikamtumia nauli aende kwa Mama. Alipofika huko ameongea Mambo mengi mabaya kuhusu Mimi. Kwakuwa Mama tulikuwa hatuko in good terms akamuamini bila hata kuniuliza.

Nikamshirikisha Sista kwakuwa naye anamfahamu huyo mtoto ana matattizo akanishauri wakati wa kufungua shule nisitume kwanza nauli na matumizi ili kwanza ajifunze na ikiwezekana Mama amuonye kwanza. Mama kaja juu, anasema kwanini wa kwangu nimemtumia nauli ya kwenda shule na wa Dada nimeacha, amesema anampleka yeye mwenyewe shule na atamsomesha ila baada ya hapo atakuja ninakofanyia kazi ili nimlipe fedha alizotumia kunisomeshea.

Kuongezea Mama amegombana na watoto wote isipokuwa sista mkubwa ambaye naye hawakutani Mara kwa Mara. Kisa cha kugombana na sista ni kwamba baada ya Sista kufiwa na mme alimshauri auze nyumba kwenye moja ya miji mikubwa ambapo ndipo anaishi arudi mkoani na watoto, Sista akakataa, ndiyo ukawa ugomvi na wakati Hilo linatokea Sista alikuwa na mwezi Mmoja amefiwa na Mume, hadi leo hawaongei alimwambia ngoja aone kama hao watoto ataweza kuwalea.

Ndugu zanguni wazazi Kama Hawa mnawakabili vipi na busara ipi mnatumia.
Mniwie radhi andiko ni refu na mtiririko hauvutii!
Duh,pole sana mkuu...viatu vyako vizito sana,siwezi kuvivaaa.

ILA KWA MLOLONGO HUO,AMUA CHAKUFANYA AMBACHO UNADHANIA SAHIHI ILA USIMDHARAU MAMA YAKO NA USIMSAHAU BIBI YAKO(MAANA BIBI AKO NDIO MWENYE KUSHIKA BARAKA ZAKO,ILA SIO MAMA AKO )

NB: HAPO NMEJIFUNZA KUWA BABA AKO HAJAKOSEA KUONDOKA,ALIJIONEA MAAJABU MENGI.

TUNAKUOMBEA NDUGU YETU
 
Back
Top Bottom