Niyaonayo katika utunzi wa gazeti la MTANZANIA la leo
"SHIDA Salum, mama mzazi wa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe." (Sentensi hiyo haina ubishi. Huyo ni mama yake Zitto, hata Zitto mwenyewe amekiri hivyo, ingawa wakati mwingine anajulikana kama Mama Lulu au Mama Salum)
"Amenusurika kuuawa baada ya kuvamiwa nyumbani kwake na watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, wakiwa na silaha za moto." (Kama alivamiwa, inawezekana kweli ni majambazi. Lakini habari inatuambia walikuwa na bastola. Hakuna silaha nyingine iliyotajwa. Lakini ili kutia chumvi, mwandishi anasema walikuwa na "silaha za moto.")
WeweWewe ni nani??? kwenda huko!!!!Mnatishia watu wasiseme maovu yenu!!!!
HIvi chadema mtajaribu ku-preempty matukio mpaka lini? Na hili nalo? Jamani oneni aibu, matukio haya sasa yamezidi chukueni maamuzi mageumu ndani ya chama badala ya. Kukingia kifua mambo ambayo yako hadharani kiasi hiki
Yaani hawa jamaa zangu wangekuwa na bidii hii hii katika kutatua matatizo ya watanzania aisseee tungekua mbali
Wewe
lazima uko kundi moja na Barcelona katika kuandaa mkakati wa kumteka huyu mama wa watu. BARCELONA kajiunga. jF leo hii na mahsusi kwa ajili ya tukio hili la kumteka MAma Zitto. Hivi HUyu Zoka anayetajwa hmu siyo yule aliyetajwa na gazeti la mwanahalisi kuwa ni rafiki wa karibu na ZITTO? Halafu leo anakwenda kumteka Mama yake? Kweli CDM mnatapatapa
GAzeti la Mtanzania linaripoti Mama mzazi wa zitto kabwe amevamiwa na majambazi.
Walikuwa wanataka computer na kiwekea kumbukumbu flash.
Kada wa CHADEMA atajwa kutambuliwa na mama huyo.Alikuwa miongoni wa majambazi waliomvamia.
lengo la stori hii ni kumkamata Sabula Hemed ambaye aliwarekodi wakina Mwanga hoteli ya Sea Cliff .....jikumbusheni tamko la bobezi Marando ....over
Ndiyo ili waisingizie CHADEMA "kama kawa"Wewe
lazima uko kundi moja na Barcelona katika kuandaa mkakati wa kumteka huyu mama wa watu. BARCELONA kajiunga. jF leo hii na mahsusi kwa ajili ya tukio hili la kumteka MAma Zitto. Hivi HUyu Zoka anayetajwa hmu siyo yule aliyetajwa na gazeti la mwanahalisi kuwa ni rafiki wa karibu na ZITTO? Halafu leo anakwenda kumteka Mama yake? Kweli CDM mnatapatapa
Wewe mnafiki mkubwa mpango wenu umeumbuka ndo umetumwa kuja kuhadaa uma jf kunawatu wanaakili na wanachambua mambo ukitaka kujua kuwa unatumia uelewa wa kawaida sana wewe umejiunga leo jf na hiyo ndiyo post yako ya kawanza halafu unasema eti ubebaini kitu acha habari za kuzua mnapanga kumteka mama wa watu then unatumwa kuja kudanganya hapa.
Mama yake hawezi kuuwawa kwasababu yy na mwanaye mchezo mzima anaujua.
kwa hiyo polisi wakitaka kumkamata mtu mpaka wachape story gazetini?mburula wewe
Siku akitekwa mama yako ndo utajia CDM ni Mafia , wewe si ulikuwa unajidai kuwatetea?wameshaanza kuteka wazazi wa wenzao tena? hii kali
shida mnahukumu mleta habari badala ya kuihukumu habari yenyewe.........huu ni mchezo wa kuwakamata vijana wa Chadema waliowarekodi wakina Sinbard Mwanga katika harakati za kutunga ushahidi kesi ya Lwakatare , wait you shall see....
Mkuu sasa hivi wanatumia mtindo wa tekeleza then preempty. Wanatekeleza mission zao then wanakombilia kisema vyombo vya dola vinahusika huku wakiwataja watu watakaokamatwa , wanawajuaje kama siyo wao wenyewe?kwa hiyo mkuu unataka kukanusha kuwa tukio hilo si la kweli?
siku hizi ndio mtindo , umesahau ya you tube na Lwakatare?
Mkuu sasa hivi wanatumia mtindo wa tekeleza then preempty. Wanatekeleza mission zao then wanakombilia kisema vyombo vya dola vinahusika huku wakiwataja watu watakaokamatwa , wanawajuaje kama siyo wao wenyewe?