Mama yake Feisal Salum 'Fei Toto' Kamaliza Utata na Kutema Nyongo dhidi ya Yanga SC

Kwanini wewe kwa dada wa Futui alishakubali urudi?
 
Kwani wanajua maana ya presidence?
Bongo si muda wote inafanya kazi hiyo..
Uto walipotoka Tunisia waliomba mechi yao na KAGERA Sugar isogezwe mbele kutokana na muda kuwa ndogo pamoja na fatique ya safari, wenye maamuzi wakawatolea nje.

MAKOLO yalienda kutalii Dubai yakaomba mechi yake na MBEYA CITY isogezwe mbele wakakubaliwa bila ya hata aibu ya maamuzi waliyoyafanya mwanzo kwa Uto.
 
Bi mkubwa hawajui wanasheria maneno aliyo ya ongea wakili wa Yanga anaweza kuyatumia na kuzidi kumpa hali mbaya Fei.
Kitu kingine wanepotea ni kung'ang'ania hazabu Yani wamekubari wamevunja mkataba makusudi Ili apewe adhabu af wamalizane ma wanatafsiri Sheria kama za mahakaman wana sahau fifa Sheria ziko tofauti fair play lzma izingatiwe ukivunja mkataba katkat ya msimu sio uanamichezo kabisa na watapgwa ban kubwa hawatoamin
 
Mama anataka hueuma mbele ya mkataba?.
Je alikotoka alilipwa sh ngapi?
Je analipwa pungufu ya makubaliano?
 
Mchezaji hawawezi kujiondokea kama kwenye mkataba hakuna kipengele kinachomruhusu kuvunja mkataba kwa kutoa kiasi fulani cha pesa.

Yaani mlimdharau Feisal hadi mkadhani hawezi pata milioni 100 za kuvunja mkataba.
Kelele we Kolowizards, tangu lini Mchezaji akawa mkubwa kuliko klabu?

Huoni hata lile dishi lenu lililojifanya kushinda kesi dhidi ya YANGA FC "Morrison" lilirudi tena jangwani na sasa hivi liko nnje zaidi ya mwezi mzima lakini bado tu Yanga inaendelea kushinda?




Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Anachokisema mama, Inaonekana anaPOVU baada ya matarajio ya walichokipanga kuwa Tofauti na kuona Mwanae anapoteza muelekeo.

Mwaka mmoja na nusu kukaa benchi, si mchezo.

SAWADOGO ALIKAA MUDA GANI?
BIGIRIMANA ALIKAA MUDA GANI?
Siku zote Ke huwa ni wakurupukaji katika maamuzi sababu hutumia HISIA (furaha sana au hasira sana/moyo) badala ya akili (ubongo)

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Point yako ni nini hasa? Maana kuitana majina ya kejeli siyo style yangu.
 
Mchezaji hawawezi kujiondokea kama kwenye mkataba hakuna kipengele kinachomruhusu kuvunja mkataba kwa kutoa kiasi fulani cha pesa.

Yaani mlimdharau Feisal hadi mkadhani hawezi pata milioni 100 za kuvunja mkataba.
Mkuu unazijua Sheria za fifa?
 
Adui wa mtu mweus ni mweuc mwenzie..
Biashara za kishamba kama iz uwez Kuta kwengne
Zaid ya Africa ASA Tz..
 
Hapana mkuu sizijui
Mkataba unavunjwa mwisho wa msimu jua Ilo basi vipi yanga Leo wachezaji wote wakivunja mkataba af wafungiwe miezi mi4 huu ji WA 3 ko mwezi wa 8 watakua wamefunguliwa wataenda timu zingine ko yanga anakua Hana timu ya kwenda uwanjani hivyo ashushwe daraja unaionaje io?
Kwani unazan fifa kukataa serkal kuingilia michezo waliona Nini kwamba serkal wanashelia mbovu hapana ila no maana kubwa ya fair play ndo maana ata walio mtaka fei wamepoa now
 
Sawa sawa!
 
Ndio atacheza nae nyumbani kwake,sio mbaya atakuwa anamtuma,vitunguu,nyanya, pilipili nk.

Nahisi mama yake ndo alimshinikiza kufanya haya maamuzi. Wahusika walimtumia mama yake kufanya haya waliofanya.

Dogo angevumilia mkataba wake ufike ukingoni, zen arekebishe yakurekebishika au aende anako taka, tamaa iliwazidi kasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…