zubedasoud
Member
- Feb 1, 2017
- 91
- 117
Apitie na kwenye mashule binafsiHongera sana kamishna mpya wa uhamiaji kwa jitihada za mwanzo,maeneo in mengi yenye matatizo ya kiutendaji,,Leo umekamata passport ila wamiliki wa passport hawana vibal vya kazi ,ila maeneo yapo mengi kuna ,mikoa yenye changomoto za RAIA wa kigeni kuingia kinyemela na kuafanya kazi kinyume na sheria ni kama: 1.Arusha 2.Dar 3.mwanza mbeya !,kwa pale arusha kuna kampuni nyingi za wahindi wafanyakaz wa kigeni wapo bila vibali,na hata family member wao wapo nchini bila vibali,wwngine wamefikia mahotelini kwa kuogopa taarifa zao kujulikana kwa wananchi,uhamiaji arusha hawafany lolote yani kupiga deal na RAIA wa kigeni hao
nyadhifa serikalini?!!!!Ataikamata nusu ya Tanzania.
Kuna Wazambia, Wamalawi, Wakenya, Warundi na wengine wengi wanaishi kama Watanzania kwa kuwa tu wanaongea Kiswahili vizuri.
Wengine wana nyadhifa nzuri tu serikalini.
Ataikamata nusu ya Tanzania.
Kuna Wazambia, Wamalawi, Wakenya, Warundi na wengine wengi wanaishi kama Watanzania kwa kuwa tu wanaongea Kiswahili vizuri.
Wengine wana nyadhifa nzuri tu serikalini.
Tatizo la uhamiaji haram,nakutokuwa na vibari vya kazi inchini umefanya hata wa Tanzania kukosa ajira.hilikama linakomeshwa wa TZkazi zipotu.
Ataikamata nusu ya Tanzania.
Kuna Wazambia, Wamalawi, Wakenya, Warundi na wengine wengi wanaishi kama Watanzania kwa kuwa tu wanaongea Kiswahili vizuri.
Wengine wana nyadhifa nzuri tu serikalini.
umeshatoswa ccm. naona akili yako imeanza kurudi.
ulikuwa unafungua bakuli kutetea kila kitu.
hongera sana.
CCM ipo juu sana.
Hapa kinaongelewa CCM au wahamiaji haramu?
Hivi nyinyi manyumbu hamna sera?
Kigoma hapana[emoji28][emoji28][emoji28]Ataikamata nusu ya Tanzania.
Kuna Wazambia, Wamalawi, Wakenya, Warundi na wengine wengi wanaishi kama Watanzania kwa kuwa tu wanaongea Kiswahili vizuri.
Wengine wana nyadhifa nzuri tu serikalini.
Kigoma hapana[emoji28][emoji28][emoji28]