Mama wa mtuhumiwa mauaji Arusha afunguka kwa uchungu

Mama wa mtuhumiwa mauaji Arusha afunguka kwa uchungu

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Mama wa kijana aitwaye Taramaeli Emanuel, anayedaiwa kumuua mke wake Martha Pius mkoani Arusha, ameongea kwa huzuni kubwa akieleza mawasiliano yake ya mwisho na mwanae

Amesema mara ya mwisho walizungumza, mwanae alimwambia azidi kumuombea. Baada ya tukio la mauaji kutokea, mama huyo alipokea ujumbe mfupi wa maandishi kutoka kwa Taramaeli akimjulisha kuwa aje nyumbani kwani yeye na mkewe “tayari wameshatangulia kwa baba.”

Tukio hilo limezua simanzi kubwa miongoni mwa familia, ndugu, na majirani, huku uchunguzi wa polisi ukiendelea kubaini chanzo na mazingira ya mauaji hayo.

 
Amesema mara ya mwisho walizungumza, mwanae alimwambia azidi kumuombea. Baada ya tukio la mauaji kutokea, mama huyo alipokea ujumbe mfupi wa maandishi kutoka kwa Taramaeli akimjulisha kuwa aje nyumbani kwani yeye na mkewe “tayari wameshatangulia kwa baba.”🥺🥺🥺
 
Back
Top Bottom