Mama wa Kambo

Mkuu tunao Watoto na sasa wapo 35 and above. Uzoefu wa kuwa na mama zao wa kambo tunao. Nasema ulezi wa multiparty hauna formula
 
Huyo alikua muuaji sasa daah.
 
na taka nikazie hapo mfano mwingine ,..mimi nmelelewa na mather tangu mzee afaliki nikiwa na mwaka1, maza kankuza kimaadili kanisomesha had nw nnajitegemea nmeoa na maisha yanasonga.
 
Duh, ulikuwa jehanam! Na baba naye alikuwa ndezi! Sasa hivi umeshawasamehe?
Yaaani mambo yalikua mengi sana manjata acha tuu..
Yule mama aliachwa mwaka ambao mimi nilikua form 2..
Na ile achana yao ilikua ya kibabe sana sijapata ona..

Mwanamke alikuja na fuso kubeba vitu ndani an mzeee mpaka alichanganyikiwa aiseeeee...

Siku anatoka alisema akija nidaka atanipa jeraha la maisha...
Baba alitoka taraka tatu baada ya yule maza kuondoka bila ridhaa yake...

Baada ya miezi mama akaanza kusumbua mara wakaanza kuperekeshana ustawi wa jamii..

Mambo yalikua mengi mnoo mnoo

Siku nikiwa naenda watcheki wadogo zangu nakuta amechoka mno na hapo akawa ananiomba msamaha na ushauri libao
 
Pole mwanagu, nimesoma nikasikia uchungu sana πŸ₯ΊπŸ˜”
 
Mkuu tumekua kwa watu baada wa kukosa wazazi.

Hongera sana kwa jitihada zako,ubarikiwe sana na Mungu akutunze na familia yako.

Ila nilikaa kwa watu flani wana roho nzuri sijawahi ona ile familia hasa Mwanamke.
 
Ni wachache sana..
Maana kuna majirani pia walikua wanaona huu unyama ila kuingilia ilikua ngumu
 
Daaah mzee dingi... Achana nae bana
Kwa sasa siwezi mwambia chochote naimani yalishapita
Ni bora akajua na akijua pamoja hawezi kukuomba msamaha, atakuheshimu na kukuthamini. Ndivyo wazazi tulivyo, maana ninao kaka zako pia. Hayo masahibu niliyapata katika kulea wanangu ujue!
 
Ni bora akajua na akijua pamoja hawezi kukuomba msamaha, atakuheshimu na kukuthamini. Ndivyo wazazi tulivyo, maana ninao kaka zako pia. Hayo masahibu niliyapata katika kulea wanangu ujue!
Mkuu tajaribu siku kuongea nae maana ni mda sana hatujaonana ila kuna siku isiyokua na jina takaa nimwambie

Ila mkuu ishu inakuja hizi story zinaanzaje an na lengo la kumwambia itakua nini maana yule mtu mzima atawaza kama namkandia hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…