Mama wa kambo si mama,hakuna la kubisha hapo:spider:
miso u 2 swir.......mambo yalikuwa mengi mengi mno, yanaingiliana kila kona but soon nitakuwa free....sasa dearest mwenzako mie nampenda mwanangu huyo kupita maelezo, yaani huwa nasema ndio kabinti kangu ka kwanza....hahaha waache kabisa kuna watu tuna roho zetu za imani toka tumboni mwa mama.
Si always, Mimi wife ni mama wa kambo kwa kijana wangu wa ujanani na tunaishi naye sambamba na watoto wetu wa ndoa ,tukitoka tunatoka wote, tukila wote tukienda ibadani wote. Na hata nikisafiri wife ana mtake care kama mtoto wake wa kuzaa na sijawahi sikia malalamiko kupitia kwa bibi, majirani wala kwa baba wadogo au wakubwa. Tulianza kuishi naye tangu O-Level na sasa yuko Higher learning institution na hujisikia comfortable zaidi kukaa hapa nami kuliko kwenda kumtembelea mama yake mzazi.
Kwa hiyo hii ina maanisha nini? ni kwamba mama wa kambo akiwa na hofu ya Mungu na mkakubaliana modality ya malezi bila kinyongo na baba kutokuwa biased basi hakutakuwa na tatizo lolote la malezi. Mtoto anapokuwa chokoraa na kuwa na pre -conception kwamba mama wa kambo ni wabaya basi ataishi ki defensive zaidi hata kama mama wa kambo ana mtreat fairly
Hapo ndo napokupendea my daer umesema kweli.
Hujambo lakini?
nani kakuambia mama wa kambo ni mama ila tu sio mama mzazi. Hii huwa inategemea mtu na mtu, kama mwanamke huyo anarohombaya na uchoyo atafanya hivyo hata kwa step chidren wake na kuwajari wa kwake tu
raha ya mama wa kambo awe mdogo kwako...
yaani mtoto wakiume uwe na umri kama 25 hivi..
halafu mama wakambo ana 18 hivi.....raha tupu
Kwanza tumejiuliza nini maana ya mama? Tukijibu hili, tutaweza kufafanua ukweli. Kama kuna mama mbaya anaweza kuwa wa kuzaa au wa kulea. Hautajawahi kuona mama wazazi wanawachoma moto watoto wao kwa kuiba shilingi 100 au kwa kudokoa mboga?Mama wa kambo si mama,hakuna la kubisha hapo:spider:
una uhakika ntakupa mfano wa mmama alokuwa anamwambia mtoto wa miaka minne wa kike amnyonye uke wake,kwa hiyo hapo tatizo la mtoto ni nini?Kwanza tumejiuliza nini maana ya mama? Tukijibu hili, tutaweza kufafanua ukweli. Kama kuna mama mbaya anaweza kuwa wa kuzaa au wa kulea. Hautajawahi kuona mama wazazi wanawachoma moto watoto wao kwa kuiba shilingi 100 au kwa kudokoa mboga?
Niliwahi kulelewa na mama wa kambo na alikuwa ananipenda kuliko watoto wake wa kuzaa, sio kwa sababu ya kutaka kujipendekeza kwa baba bali kwa tabia zangu. Kwa hiyo, mara nyingi inapotokea mama wa kambo kutokuwa "mama", tatizo liko zaidi kwa watoto na kwa mtizamo wa kijamii kuliko ukweli wenyewe.
una uhakika ntakupa mfano wa mmama alokuwa anamwambia mtoto wa miaka minne wa kike amnyonye uke wake,kwa hiyo hapo tatizo la mtoto ni nini?
Kwanza tumejiuliza nini maana ya mama? Tukijibu hili, tutaweza kufafanua ukweli. Kama kuna mama mbaya anaweza kuwa wa kuzaa au wa kulea. Hautajawahi kuona mama wazazi wanawachoma moto watoto wao kwa kuiba shilingi 100 au kwa kudokoa mboga?
Niliwahi kulelewa na mama wa kambo na alikuwa ananipenda kuliko watoto wake wa kuzaa, sio kwa sababu ya kutaka kujipendekeza kwa baba bali kwa tabia zangu. Kwa hiyo, mara nyingi inapotokea mama wa kambo kutokuwa "mama", tatizo liko zaidi kwa watoto na kwa mtizamo wa kijamii kuliko ukweli wenyewe.
Kama sikosei hiyo ishu ilitolewa katika redio. Na ilikuwa ni watoto wawili, m1 wa kike na m1 wa kiume. Lkn ishu ni kuwa yule mama wa watoto, alikuwa anawaacha watoto kwa shoga yake kutokana na kumuamini. Hivyo tofautisha baina ya shoga na mama wa kambo.