Lucas mwashamba
Member
- Jul 30, 2025
- 97
- 324
Kumbe ni mambo yenu ya code,mi nikajua kweli mama wa kambo🤓🤓🤓🤓Tetetehhhhhh KILA MTU apambane na HALI yake mama WA kambo Hana SHIDA, anatufaa sana. Tulipo Lia mlicheka Leo mna Lia nasi TULIE nani KASEMA .mitano na NUSU kwa mama ,🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🤣
Kwishaaaaa
Ukisikia mlio jua kna MTU kimemrambaaKumbe ni mambo yenu ya code,mi nikajua kweli mama wa kambo🤓🤓🤓🤓
Angalia maudhui tu, majina si kituHivi huyu Lucas ni yule original wa kutiririkwa na machozi au huyu feki?
Nimeshalalamika sana na kulaani sana kitendo hiki kilichofanyika lakini nashangaa imekuwaje jukwaa hili wanashindwa kuona kuwa hiyo siyo sawa. Kwa hakika imenisikitisha sana na kulishangaa sana jukwaa hili. Sikuwahi kufikiria kama jukwaa hili na uongozi wake unaweza kuacha jambo kama hili kufanyika na kuendelea kuangalia tu kuendelea kutendeka.Uongozi wa JF hii sio sawa, ni violation ya forum contributors Lucas Mwashambwa uwe unakubaliana nae au la. Vyovyote vile amejitengenezea brand na audience yake.
Kuacha watu watengeneze ID zinazofana na wachangiaji ambao wameshajijengea popularity for cheap shots, huku ni ku-entertain mambo ya kitoto to say the least.
Na ishitoshe umebubujikwa na machozi na kugalagala mavumbini lkn still hawako Tyr kukusaidiaNimeshalalamika sana na kulaani sana kitendo hiki kilichofanyika lakini nashangaa imekuwaje jukwaa hili wanashindwa kuona kuwa hiyo siyo sawa. Kwa hakika imenisikitisha sana na kulishangaa sana jukwaa hili. Sikuwahi kufikiria kama jukwaa hili na uongozi wake unaweza kuacha jambo kama hili kufanyika na kuendelea kuangalia tu kuendelea kutendeka.
Umesikitika Sana na kububujikwa na machoziNimeshalalamika sana na kulaani sana kitendo hiki kilichofanyika lakini nashangaa imekuwaje jukwaa hili wanashindwa kuona kuwa hiyo siyo sawa. Kwa hakika imenisikitisha sana na kulishangaa sana jukwaa hili. Sikuwahi kufikiria kama jukwaa hili na uongozi wake unaweza kuacha jambo kama hili kufanyika na kuendelea kuangalia tu kuendelea kutendeka.
Hujamstukia, huyu ni feki. Tarehe ya kujiunga "Jul 30, 2025" Ha ha haaaaaaa!Hivi huyu Lucas ni yule original wa kutiririkwa na machozi au huyu feki?