bamukwata kaziro mawee noija kukolaki mbwenu,mpora
Haka kamama ni kafisadi tu!
weka mbali location, haina nguvu sana. muulize ada ya pale ikoje?
SHULEyake sio ya watoto masikini ada ni sh 4000000 acha kudanganya watu
Ameamua kwenda kuiangukia shule yake ili imtetee ili asinyang'anywe uwaziri wake! Kwa kweli ukisoma vizuri tamko la shule ile ni dhahiri limepikwa!
Ada ni 5m Kwa mwaka licha ya Misaada yote hiyo mabilioni
Nimesoma press release ya shule unayodaiwa uliiombea feza! Naomba ujibu maswali yangu haya:
1. Hivi ulipoahidiwa kupewa fedha kwanini ulifungua akaunti wewe binafsi badala ya bodi - mkiti, katibu etc? Yasemekana akaunti ilikuwa na jina lako binafsi? Na km shule ilikuwa na akaunti nyingine hapo mkombozi bank ya ada, kwanini hamkuitumia akaunti hiyo?
wewe ndo uwe serious, prof. anna tibaijuka kaeleweka sana na sisi sote watanzania tumemuelewa sana. hana hatia issue ya escrow ila wasaka tonge wanatafuta mtu wa kumtoa kafara. na prof. tibaijuka sio mbuzi ni msomi wa kimataifa. viva prof. viva
2. Hivi km lengo la shule ni kusaidia watoto wa kike wanaotoka familia duni? Hivi kweli kwa usomi wako unaozingatia maamuzi yatokanayo na tafiti, kweli mabinti toka familia duni wako jijini Dar na Bukoba mjini?
Ada ya shule ni sh ngapi?
Kama shule ada ni milioni 5 kwa mwaka na inashindwa kujiendesha, something is missing...,waungwana watusaidie ku-connect dots. Hapa kutakuwa na usafishaji pesa unaendelea.
huyu mama jinsi anavyowadhulumu watu wa kigamboni na cha simba tegeta sina hamu naye
mwaka 2009 ada ya form one katika hii shule ilikuwa 3,050,000 kwa mwaka sijui siku hizi imefika shilingi ngapi!!! Watoto wa mazingira magumu hayo ni wapi wenye uwezo huo?
Nimesoma press release ya shule unayodaiwa uliiombea feza! Naomba ujibu maswali yangu haya:
1. Hivi ulipoahidiwa kupewa fedha kwanini ulifungua akaunti wewe binafsi badala ya bodi - mkiti, katibu etc? Yasemekana akaunti ilikuwa na jina lako binafsi? Na km shule ilikuwa na akaunti nyingine hapo mkombozi bank ya ada, kwanini hamkuitumia akaunti hiyo?
2. Hivi km lengo la shule ni kusaidia watoto wa kike wanaotoka familia duni? Hivi kweli kwa usomi wako unaozingatia maamuzi yatokanayo na tafiti, kweli mabinti toka familia duni wako jijini Dar na Bukoba mjini?
Aliyeshikwa na mali ya wizi naye ni mwizi..! tusizunguke!!
wewe ndo uwe serious, prof. anna tibaijuka kaeleweka sana na sisi sote watanzania tumemuelewa sana. hana hatia issue ya escrow ila wasaka tonge wanatafuta mtu wa kumtoa kafara. na prof. tibaijuka sio mbuzi ni msomi wa kimataifa. viva prof. viva
wewe ni mjinga tena punguwani. prof. amechukua wanafunzi wengine kutoka mikoa duni tanzania kama lindi na anawasomesha bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee