Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,671
- 11,339
we katavi umekuwa kipindi gani mama tery maarufu sana haswa ka vijana wa 2000's hadi kwenye nyimbo wamemuimba.(john walker) alikuwa anaelimisha jamii kuhusu masuala ya afya ya jamii hususan ukimi na magonjwa yanayoambukiza japo hadi leo sjafahamu ana elimu kiasi gani katika masuala ya afya ya jamii ila alikuwa kipindii hicho radio one docta kila jumatatu pale radio one sterio jamii ila al
karibu uwavune watanzania maana ndodi nae kaingia mitini au ndo mnapokezana?
....................na kuanzia wiki ijayo atakuwa Njombe kwa wiki moja akitoka hapo anaelekea Mbeya kwa wiki moja pia. Kumbe ana kitambi, ndo maana sasa hivi hata kwenye radio hasikiki kuwaponda wenye vitambi na isitoshe anauza dawa ya kuondoa kitambi wakati yeye mwenyewe hainywi lol!!Ndodi toka alivyopata kitambi hataki kuuza sura kwenye TV manake alikuwa anawaponda sana wenye vitambi. Sasa hivi huwa anasikika kwenye radio Ebony ya Iringa, sasa sijui ndo kahamia moja kwa moja au!
Kama alikuwa Redio One huku kwetu haishiki hadi leo, na kama ni mwaka 2000's nilikuwa mtu mzima busy kutengeneza watoto na my wife. Hiyo kuimbwa na akina Johny Walker si ishu kama angeimbwa na Mubaraka Mwinshehe au Remmy Ongala ningemfahamu.we katavi umekuwa kipindi gani mama tery maarufu sana haswa ka vijana wa 2000's hadi kwenye nyimbo wamemuimba.(john walker) alikuwa anaelimisha jamii kuhusu masuala ya afya ya jamii hususan ukimi na magonjwa yanayoambukiza japo hadi leo sjafahamu ana elimu kiasi gani katika masuala ya afya ya jamii ila alikuwa kipindii hicho radio one docta kila jumatatu pale radio one sterio jamii ila al
Enzi hizo mimi ndio nilikuwa namkataza mwanangu wa kwanza kushika redio, na tena ilikuwa ni R.T.D iliyokuwa inashika huku kwetu. Angalau siku hizi tunapata na R.F.A.Katavi enzi hizo labda alikuwa katika umri wa akigusa radio anakatazwa anaambiwa "acha utahharibu", unajua enzi zile ilikuwa ni rahisi kumfahamu mama Terry kwa kuwa radio station zilikuwa na vipindi vingi vya kusikiliza tofauti na sasa watu hawasikilizi sana radio (wapo specific na vipindi vichache kutokana na radio nyingi kufanya kazi ya kupiga muziki tu kipindi kirefu kwa kuwa kigezo cha ajira ya utangazaji wa radio nadhani lazima uwe DJ)
Kama alikuwa Redio One huku kwetu haishiki hadi leo, na kama ni mwaka 2000's nilikuwa mtu mzima busy kutengeneza watoto na my wife. Hiyo kuimbwa na akina Johny Walker si ishu kama angeimbwa na Mubaraka Mwinshehe au Remmy Ongala ningemfahamu.
Enzi hizo mimi ndio nilikuwa namkataza mwanangu wa kwanza kushika redio, na tena ilikuwa ni R.T.D iliyokuwa inashika huku kwetu. Angalau siku hizi tunapata na R.F.A.
Ndio nani huyo...
Tangu mtoto wakwe apewe hhifadhi kwenye gesti ya serikali ya bure ( JELA ) Mama nae kaingia mitini. mara ya mwisho alionekana akilia mahakamani baada ya mwanawe kuingizwa kwenye taxi ya serikali wakati uli ikiitwa karandinga tayari kwa safari ya gesti bubu ya serkali kule mbele ya majumba sita
WanaJF, mnamkumbuka Mama Terry aliyekuwa mwanaharakati wa kupiga vita UKIMWI? Alikuwa anasikika sana Radio One akiwa na Misanya Bingi. Na alikuwa anawatetea sana wamama. Ghafla akawa hasikiki tena. Yuko wapi siku hizi??
Tangu mtoto wakwe apewe hhifadhi kwenye gesti ya serikali ya bure ( JELA ) Mama nae kaingia mitini. mara ya mwisho alionekana akilia mahakamani baada ya mwanawe kuingizwa kwenye taxi ya serikali wakati uli ikiitwa karandinga tayari kwa safari ya gesti bubu ya serkali kule mbele ya majumba sita
kaishiwa hana jipya kama isack ndodiWanaJF, mnamkumbuka Mama Terry aliyekuwa mwanaharakati wa kupiga vita UKIMWI? Alikuwa anasikika sana Radio One akiwa na Misanya Bingi. Na alikuwa anawatetea sana wamama. Ghafla akawa hasikiki tena. Yuko wapi siku hizi??
Tangu mtoto wakwe apewe hhifadhi kwenye gesti ya serikali ya bure ( JELA ) Mama nae kaingia mitini. mara ya mwisho alionekana akilia mahakamani baada ya mwanawe kuingizwa kwenye taxi ya serikali wakati uli ikiitwa karandinga tayari kwa safari ya gesti bubu ya serkali kule mbele ya majumba sita
Alisema hakuna (au haamini kuwa kuna) Mungu, kuanzia siku hiyo hiyo nikamdharau!