Mama Tanzania! Nduguzo wa wapi?

Mama Tanzania! Nduguzo wa wapi?

Joined
Mar 23, 2025
Posts
16
Reaction score
8
Wewe ni nani? Ni Nini
Mama Tanzania
We ni wapi ni yupi
Maji na bahari,maji baridi

Kwenu ni wapi asili ni ipi
Iwe karibu nyumbani
Kilimanjaro,Dunia juu zaidi
Watoto wako ni wapi
Wavivu? Walegevu?
Wenye fikra?wasubirivu?

Mbaya wako ni yupi?
Kwa Baba mtoto hukua?
Wanaume.ni wapi? Ushajaa ni upi?

Luwenzori mafichoni? Sirini? Gizani?taa Yako ni ipi? Gizani ni wapi? Karibu na iliko Nuru?
Mama Tanzania? Moyo wako ni upi? Majeraha Yako ni mangapi? Hayaponyeki?
Sema ni nani mbaya wako!
Sema nani anaekuumiza?.

Mama Tanzania pole! Usaliti ni upi tofauti ni ipi na upendo?
Unapendwa kwa moyo wote? Umenenwa u mzuri?

Ni nani mbaya wako? Sema Nina anaye kuumiza.mama Tanzania.
Ni lini? tiba ni ipi? Daktari ni nani?
Itabaki hivi daima?
Mama Tanzania.
 
Mleta mada naamini moyo wako umeongea na unachokimaanisha ni muhimu sana kwa taifa, lkn kwa nchi ambayo hadi wazee wamekua wapambaji wa kumbi, chukua maneno yangu hapo comment zitakua chache sana ukuzingatia unmetumia fasihi ya kiwango cha master degree,
Stay tuned utaniambia.
 
Mama Tanzania kanajisika hakuna haki Wala usawa.

Ukiongea ukweli wewe ni mpinzani...
 
Back
Top Bottom