Vawulence JF-Expert Member Jan 4, 2009 1,928 2,101 Apr 13, 2009 #1 Sokwe mdogo alimuuliza mamaye; "Mama hivi mbona sisi tuna sura mbaya sana?" Mama Sokwe akamjibu mwanae kwa upendo; "Mwanangu ungeamini kuwa sisi ni wazuri sana laiti tu,ungemwona huyu mtu anayesoma thread hii."
Sokwe mdogo alimuuliza mamaye; "Mama hivi mbona sisi tuna sura mbaya sana?" Mama Sokwe akamjibu mwanae kwa upendo; "Mwanangu ungeamini kuwa sisi ni wazuri sana laiti tu,ungemwona huyu mtu anayesoma thread hii."
Vawulence JF-Expert Member Jan 4, 2009 1,928 2,101 Apr 18, 2009 Thread starter #3 kamuna said: pumba tupu!wala sio kichekesho! Click to expand... kumbe ulikuwa unaisoma?