Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,550
Labda gari la taka leo limebeba abiriaSasa Boss hii ajenda yako inaingiaje kwenye juu uzi?
Watoto wa nje walikuwepo, na walikuwa wanaletwa nyumba kuu bila mnuno wa bi mkubwa, wanaishi vema tuMkuu kwenye hiko Kizazi cha zamani kisichokuwa na wabeijing hakukuwa na watoto wa nje