britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,060
- 46,998
AminaTunaongozwa na Rais mwema sana.
Kumbe upo sio!!Amina
Sikuzote mkuuKumbe upo sio!!
Nilikua bize KWA siku tano sikuwepo humu!Sikuzote mkuu
Shida ni Watendaji au Makada wa chama chake ambao wanaenda kukagua miradi na kutoa maagizo badala ya kushauri.Hiyo semina inapaswa iwaguse na makada wake wa CCM ambao huwa wanaropoka sometimes!Binafsi naweza kusema hii ni moja ya hotuba nzuri sana kutoka kwa Madam President.[emoji122][emoji122][emoji122]
1. Suala la Viongozi kujiamini na kufanya maamuzi ambayo wataweza kuyatetea, maana yake wakizingatia hili watafanya informed decision, zenye kuzingatia maslahi ya wengi, kuengage kabla ya kuamua na kutumia kiwango cha juu sanaa cha akili zao badala yakuamua tu ilimradi.
2. Taarifa vs Mawasiliano ni jambo muhimu sana kwa Viongozi kujua hilo tumeona Viongozi wamekuwa wakitoa matamuko ambayo ukienda kwenye utendaji hayafafanuliwi, kwa kuzingatia hoja hii Viongozi na watendaji hatapaswa kutoa tamko tu bila official communication.
3. Suala la kufanya kazi mpaka ukomo wa taratibu na endapo inatokea sheria imegota basi ubunifu muhimu kujua je kuna haja ya marekebisho, ikiwa kuna marekebisho angalizo yasiwe kwa maslahi binafsi maana unaweza kuta sheria inarekebishwa kwa cure jambo la msimu tu na kwa manufaa yawachache kukiwa na leeway ambayo ni uncontrolled.
4. Succession plan nakuangalia succession hiyo inatija!!! huyu mtu au watendaji wa chini wanauwezo wakukupa na kukushauri vizuri au kuweka watu ambao utapenda wakuamubudu au kutembelea kwenye viatu vya wakubwa kuliko ubunifu! hili nalo muhimu sanaa.
5. Kuheshimu watu wananchi na sekta binafsi haya mambo muhimu sana kimsingi Watendaji wakifuata haya watafanya kazi vyema sana.
Britanicca
Pole sana ndo majukumu mkuuNilikua bize KWA siku tano sikuwepo humu!
Hawa jamaa na semina zao zinachosha Sana!
Huzuni na sikitiko lq kitaifa ni pale madam anapozungumza asiyoyatenda.Binafsi naweza kusema hii ni moja ya hotuba nzuri sana kutoka kwa Madam President.πππ
1. Suala la Viongozi kujiamini na kufanya maamuzi ambayo wataweza kuyatetea, maana yake wakizingatia hili watafanya informed decision, zenye kuzingatia maslahi ya wengi, kuengage kabla ya kuamua na kutumia kiwango cha juu sanaa cha akili zao badala yakuamua tu ilimradi.
2. Taarifa vs Mawasiliano ni jambo muhimu sana kwa Viongozi kujua hilo tumeona Viongozi wamekuwa wakitoa matamuko ambayo ukienda kwenye utendaji hayafafanuliwi, kwa kuzingatia hoja hii Viongozi na watendaji hatapaswa kutoa tamko tu bila official communication.
3. Suala la kufanya kazi mpaka ukomo wa taratibu na endapo inatokea sheria imegota basi ubunifu muhimu kujua je kuna haja ya marekebisho, ikiwa kuna marekebisho angalizo yasiwe kwa maslahi binafsi maana unaweza kuta sheria inarekebishwa kwa cure jambo la msimu tu na kwa manufaa yawachache kukiwa na leeway ambayo ni uncontrolled.
4. Succession plan nakuangalia succession hiyo inatija!!! huyu mtu au watendaji wa chini wanauwezo wakukupa na kukushauri vizuri au kuweka watu ambao utapenda wakuamubudu au kutembelea kwenye viatu vya wakubwa kuliko ubunifu! hili nalo muhimu sanaa.
5. Kuheshimu watu wananchi na sekta binafsi haya mambo muhimu sana kimsingi Watendaji wakifuata haya watafanya kazi vyema sana.
Britanicca
Wanapenda kusikia maneno matamu lakini utendaji zero.Amewaambia Kile mnataka kusikia.. Utekelezaji haupo
Kama anatambua wakosa si awafute kazi..
Huku kupeana vyeo kama bakshishi shida inaanzia hapaβ¦
Legendary nafurahi kukuona tena πππWanapenda kusikia maneno matamu lakini utendaji zero.
Watuonyeshe changes ktk utendaji na deliverance. Kama hakuna deliverance basi maneno matamu hayana maana.