Mama Salma Kikwete tukumbuke wenzio!

Mwalimu Mpole, pole sana. Baba alishatoa mwongozo wakati wa mgomo wa madaktari kwamba kama unaona hiyo kazi haina maslahi uache kazi, ukamtafute mwajiri atakaye kulipa vizuri sawasawa na mahitaji yako. Ombi lako kwa mama halitasaidia maana uamuzi wa Baba ni final.
 
Mkuu,
You have said it all.
Kazi kwao walimu...waanzie na sensa.

Mkuu walimu hawajawahi kujifunza, walitumiwa na serikali ever since!!! Serikali huwa inawatumia na kuwaacha! Toka enzi na enzi wamekuwa wanatumiwa kwenye chaguzi, halafu wanatupwa baada ya uchaguzi!!!

Wasitegemee kuna mtu atasimama on their behalf, wasimame wenyewe wadai haki zao!!!
 
Back
Top Bottom