Mama Salma Kikwete kuingia bungeni ni kumdhalilisha mume wake, rais mstaafu

Du umeandika. Nini. Who are you. Kipimo chako nini. Yani we chuki zako zisizo na mantiki unaweka hadharani afu unaona umeandika. Ndo mana sishangai kuna account ya kuonyesha nyeti ina followers 4mill. Hakuna uhuru katika ujinga. Haya ni maamuzi yako kutokana na hisia za kujipandikiza. Kwako matumizi ya mtandao ni kukashfu. Mmemtukana we Mstaafu. Leo unamturudia mkewe. We unajua kazii zake. Mbona we uendi Sudan sasa .we unasema uhuru afu unamchagulia mawazo. Unahisi yeye naye anaona unavyoona wewe.
Hujui hata matumizi ya nukta inawekwa wapi kwenye sentensi kweli utajua alichoandika?
 
bado anajiona binti huyu mama..
badala ya kuwa anamliwaza mme wake anataka akawe single huko bungeni

Maradhi aliyotuambia mumewe anayo sio maradhi ya mchezo anatakiwa awe karibu na mumewe akimuuguza na sio kuruka ruka kwenda Dodoma; while in retirement the husband needs her more than before!!
 
Du umeandika. Nini. Who are you. Kipimo chako nini. Yani we chuki zako zisizo na mantiki unaweka hadharani afu unaona umeandika. Ndo mana sishangai kuna account ya kuonyesha nyeti ina followers 4mill. Hakuna uhuru katika ujinga. Haya ni maamuzi yako kutokana na hisia za kujipandikiza. Kwako matumizi ya mtandao ni kukashfu. Mmemtukana we Mstaafu. Leo unamturudia mkewe. We unajua kazii zake. Mbona we uendi Sudan sasa .we unasema uhuru afu unamchagulia mawazo. Unahisi yeye naye anaona unavyoona wewe.
Uend * huendi
 
Kwa nafasi ya first lady, siyo kawaida mtu huyo kupokea ubunge. Ila thamani ya mtu uijua mtu mwenyewe. Some people are too cheap.
 
Najua anatafuta namna ya kumteua kuwa Waziri mmojawapo. Hii itamshirikisha JK moja kwa moja kwenye lawama mbaya za utawala huu
 
Hiii

Kimtazam huo na km umemsoma mkuu tabia na style yake ya kuongoza nchi utagundua anamsogeza mtu kwenye target amfumue na kuidhalilisha vizuri familia ya mh.kikwete na hiyo anaiandaa vizuri ili iwe pigo takatifu,yaani akipiga mtu chalii haamki tena mh.kikwete zinduka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom