Mama Salma Kikwete kuingia bungeni ni kumdhalilisha mume wake, rais mstaafu

ndizeye

Member
Sep 5, 2011
44
51
Kwa hali ilivyo sasa na jinsi kiongozi mkuu anavyo lipeleka Taifa, Si jambo jema na la kheri kama Mama Salma atakanyaga bungeni. Kuingia kwake ndani ya lile Bunge atakuwa ameishusha heshima ya Mme wake mbele za watanzania.

Hebu tujiulizeni katika utawala huu mpya JPM amefanya mambo mangapi yaliyoizalilisha familia ile. Ebu tukumbukeni lile sakata la makontena bandarini, kumbukeni suala la Daudi Bashite kumtaja kijana wao kipenzi katika kashifa nzito ya madawa ya kulevya, pia kumbukeni zile siku za mwanzo kauli za mkuu wa kaya kuwa Hazna imekaushwa.

Taifa limejaa uozo, wafanyakazi hewa, malipo hewa na mambo mengi sana yamesemwa yakimlenga na kuididimiza familia na tawala ile.

KWA FIKRA ZANGU ZA KHERI NINGEFURAHI KUSIKIA MAMA YETU KIPENZI KUIKATAA NAFASI ILE KWA SABABU ASIPO ANGALIA INAWEZA KUMSABABISHIA KASHFA NZITO AMBAYO HATAIWEZA.

Ni Mawazo yangu jameni Taifa letu huru naomba tuelewane.
 
Mumewe alitakiwa amshauri asikubali uteuzi ule; kwani huyu mama atapata nini zaidi ambacho hivi sasa hana huko bungeni? Kuna vijana kule wamezibuka na hawana adabu wanaweza kumvunjia heshima bure; wabunge wetu siku hizi hawana maadili!!!
 
Kwa hali ilivyo sasa na jinsi kiongozi mkuu anavyo lipeleka Taifa, Si jambo jema na la kheri kama Mama Salma atakanyaga bungeni.... Kuingia kwake ndani ya lile Bunge atakuwa ameishusha heshima ya Mme wake mbele za watanzania , Ebu tujiulizeni katika utawala huu mpya JPM amefanya mambo mangapi yaliyoizalilisha familia ile .... Ebu tukumbukeni lile sakata la makontena bandarini ... Kumbukeni suala la Daudi Bashite kumtaja Kijana wao kipenzi katika kashifa nzito ya madawa ya kulevya ... Pia kumbukeni zile siku za mwanzo kauli za mkuu wa kaya ...kuwa Hazna imekaushwa ... Taifa limejaa uozo ....wafanyakazi hewa ....malipo hewa ... Na mambo mengi saaana yamesemwa yakimlenga na kuididimiza familia na tawala ile..KWA FIKRA ZANGU ZA KHERI NINGEFURAHI KUSIKIA MAMA YETU KIPENZI KUIKATAA NAFASI ILE KWA SABABU ASIPO ANGALIA INAWEZA KUMSABABISHIA KASHFA NZITO AMBAYO HATAIWEZA....ni Mawazo yangu jameni Taifa letu huru naomba tuelewane.
Rekebisha kiswahili ndugu.
 
Du umeandika. Nini. Who are you. Kipimo chako nini. Yani we chuki zako zisizo na mantiki unaweka hadharani afu unaona umeandika. Ndo mana sishangai kuna account ya kuonyesha nyeti ina followers 4mill. Hakuna uhuru katika ujinga. Haya ni maamuzi yako kutokana na hisia za kujipandikiza. Kwako matumizi ya mtandao ni kukashfu. Mmemtukana we Mstaafu. Leo unamturudia mkewe. We unajua kazii zake. Mbona we uendi Sudan sasa .we unasema uhuru afu unamchagulia mawazo. Unahisi yeye naye anaona unavyoona wewe.
 
kumzaririsha ndio nini kilaza wewe, halafu mnaita watu bashite

Kumdhalilisha, hausomi magazeti na vitabu?

hicho ni kiswahili tu, na sio typo error
 
Mumewe alitakiwa amshauri asikubali uteuzi ule; kwani huyu mama atapata nini zaidi ambacho hivi sasa hana huko bungeni? Kuna vijana kule wamezibuka na hawana adabu wanaweza kumvunjia heshima bure; wabunge wetu siku hizi hawana maadili!!!
Salma ana hulka mbaya ya kupenda vyeo.
 
kumzaririsha ndio nini kilaza wewe, halafu mnaita watu bashite

Kumdhalilisha, hausomi magazeti na vitabu?

hicho ni kiswahili tu, na sio typo error
Waungwana Jamvini huwa hatutukanani tunasaidiana mawazo na kujaribu kuwekana sawa..... Aibu yako hiyo....
 
binafsi nilitarajia wangeikataa hiyo post siku hiyo hiyo cha ajabu nikasikia wanaifurahia tena worse enough kupitia mainstream media.
 
Ni zaidi ya uroho wa madaraka....
Ila nasikia sizonje alimuomba sn kikwete ambaye hakuwa tayari kumruhusu......
NI KUJITIA AIBU KUUNGANA NA HUYU MJINGA KWENYE SERIKALI YAKE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom