Akiwa na mpambe wake Mwamtum Mahiza, mbele ya wakina mama wa Tabora huyu mama amekuwa akiyarudi kama sehemu ya kuomba kura. Hivi Watanzania tunataka wakata viuno? Matatizo yetu sisi ni nini haswa hadi waje na huu utani wao wa kukatika viuno?
Tuwekee video clip...Ila sidhani kama ni shida kwa first lady kucheza ngoma za kitamaduni...Kama huna video tuwekee hoja zake tuzichambue.
Shukran in advance.
Tuwekee video clip...Ila sidhani kama ni shida kwa first lady kucheza ngoma za kitamaduni...Kama huna video tuwekee hoja zake tuzichambue.
Shukran in advance.