Wana JF kutokana na mtandao huu wa kijamii kuibua na kueneza siri za Serikali Wabunge wa CCM wameridhia Mtandao huo ufungwe kama ilivyokuwa Ze Utamu na Mtoa Hoja ni Mchungaji Getrude Lwakatale,Leo pia kapeleka swali lake Bungeni,pia imeonekana mtandao huu ni wa CHADEMA..
Nawasilisha.....
Unadhani ni yeye tu anayeteseka na uwepo wa JF? Avumilie kama wenzake akina Lowasa, JMK, Pinda,...Tanzania bila JF itakuwaje sijui.viti maalum isipofutwa kwenye katiba mpya najivua uraia,naenda kujiunga na BOKO HARAM
viti maalum isipofutwa kwenye katiba mpya najivua uraia,naenda kujiunga na BOKO HARAM
Kazi kubwa ya wachungaji wote ni kukusanya sadaka!!Sijawahi kumsikia huyu Mchungaji akikemea ufisadi, leo hii anataka kunyamazisha watu kwa faida ya nini? Anamwakilisha nani huyu mama? Mchungaji gani anayanyamiza watu wasikemee maovu?
Kumwambia mtu kuwa ni kilaza ni sehemu ya kukosoa..........critique.kwa nini haitakiwi na Magambaz? Tutumie busara kutafakari ili tupate jibu inawezekana na sisi wana JF tuna matatizo. Lakini kweli sometimes baadhi yetu wanakwenda nje ya maudhui ya JF. Sasa kama utaanza kusema fulani mjinga, Kilaza, kubeza kitu kitu na mambo kama hayo hayo, kweli tunakuwa hatuko tena kwenye lengo la kukosoa, kuboresha, kushirikisha ili mwisho wa siku maendeleo kwa watanzania.