Mama Regina Lowassa Leo


Labda Aunt Ezekiel
 
Oktoba 25 ndo utajua kama anacheka au ananuna
 
Mke wake kagoma kumuombea kura kutokana na udikteta wake

Nakumbuka 2009 nikiwa natokea Dar es Salaam kuelekea Mwanza na Mohamed Trans ndani ya gari nilifahamiana na mtoto wa kike wa Magufuli, alikuwa ametoka shule Ya sekondari Morogoro anarudi nyumbani. Shule ilikuwa imefungwa kwasababu chakula kilikuwa kimeisha.
Kipindi hicho nilitafakari nikaona ni maigizo makubwa haya!

Unafikiri kwa ukaksi huo na zile pushap nyumbani patakalika kweli?
 

Duuh kweli noma...
 
Hahahaha mkuu nitake radhi hahaha dah leo nimetumiwa audio yake karusha kombora la tusi kwa nape duh akinurisha mimi hilo nina patwa na kichaaa kama siyo kufa kabisa!

Samahano😉😎
 
Huyu mama mda wote yeye ni kutabasamu tu
 

Attachments

  • 1443886137900.jpg
    34.9 KB · Views: 589
Mama masolex acheke kwa raha gani??
Kwenda chooni kunaanzia mezani, kitanda kichungu jukwaa litanoga vipi??

Dunia hii INA mambo unakuta mama Regina lowassa anamuombea mumewe mema na aibuke mshindi kwenye uraisi lakini utakuta mama masolex anamuombea mumewe kushindwa ili asije pata tabu zaidi endapo mumewe atakuwa raisi,mh pombe unamchosha mama
 

Ninamfahamu vzr mtt wake mmoja nilikutananae Haven of Peace 2008, anaitwa Richard
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…