Mama punguza upole, mboni zako zinachezewa

Aman Ng'oma

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
966
Reaction score
537
Kuna kikundi cha watu hawataki kukuona ukiwa kwenye kiti ulichokalia. Wanaleta Kila aina ya chokochoko. Wanafanya hivyo kwasababu ya upole wako na roho ya huruma ya kimama uliyonayO hivyo wanakuchukulia poa. Nadhani sasa umefika wakati wa kuwa bandidu na kutocheka na "wowote" Manyang'au hawana maana. Ukichekanao utavuna mabua.

Nyuma yao wako wengi, hao wametangulizwa kupima kina cha maji. Usichukulie poa endelea kukaza kwa maslai ya Watanzania. Kazi zako zinaonekana, Tanzania inabadilika kwa kasi sana. Kila kona Kuna miradi na keki ya taifa unaigawa kwahaki kabisa. Kila Mkoa, Wilaya, Kata, Kijiji, Kitongoji na Mtaa unaonekana kupitia kazi zako.

Wananchi Wanafanyakazi na kuishi kwa amani. Wafanyabiashara wana Amani na hela zao Sasa hivi hazifichwi majumbani bali zinahifadhiwa BenkI. Zile kesi za uhujumu uchumi zimekwisha. Kodi zinalipwa na rekodi zinavunjwa.
Watumishi wanapandishwa Madaraja kila mwaka kwa mujibu wa mwongozo na kwa haki. Wale wanaosafiri kikazi wanalipwa stahiki zao vizuri na zimeboreshwa. Watu Wana chapa kazi na mioyo yao imetulia. Utoaji wa huduma umeimarika.Waswahili wanasema Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Ukweli Lazima uzungumzwe. Mama amenyooka na hataki dhulma.

Vizazi na vizazi vitamkumbuka, amefanya maajabu mengi tena ndani ya muda mfupi tofauti na matarajio. Mambo aliyoyafanya kiukweli hamithiliki. Kiukweli anastahili kongole. Mbele ya Watanzania hana deni. Ameweza kutubusha katika Kipindi kigumu. Ama kwa hakika Mama Samia ni Akili kubwa. Anajua kutafuta hela na kuzitumia kwenye miradi yenye tija kwa taifa. Tuzo aliyopewa na Bunge inamstahili.

Kazi anachapa na Miradi ya Maendeleo imetapakaa Kila mahali. Mahosipitali pamoja na vituo vya Afya vimetapakaa kila mahali hadi kule kwetu Namtumbo, ukienda pale Migelegele utaiona. Hapo hujazungumza kuhusu miradi ya Maji, Umeme, Barabara, Viwanja vya ndege, Madaraja, DART, SGR nk
Eti Sasa kuna vidudu mtu wanajitokeza kutaka kuleta chokochoko. Tanzania ni nchi ya Amani na Watanzania wana taka Amani. Uroho wa madaraka wa baadhi ya watu usisababishe kuivuruga Amani yetu. Upole wa Mtu usitafusiriwe kama ujinga

bali ni staha iliyojengeka na ndani ya mtu husika na si vinginevyo. Si kila mtu amejaliwa. Siku staha ikiisha na mtu huyo akaamua kuvaa rangi yake halisi unaweza kutamani Dunia ipasuke uingie uingie ndani yake. Tumshukru Mwenyezi Mungu kwa kutupa Rais Muungwana vinginevyo ingekuwa balaa. Duniani waliyojaliwa subira na ustahimilivu ni wachache. Mkipata Viongozi wa aina hiyo wanapaswa kushikiliwa haswa.

Kitu cha kutambua siku zote ni kuwa, Tanzania ni nchi kubwa na yenye watu wengi hivyo inaweza kwenda hata bila wewe kuwepo. Kwahiyo, huna haja ya kujipa umuhimu kuliko Watanzania wengine. Ndiyo maana kipindi cha Mwamba hukuweza kusikia chokochoko yoyote, wote kimya waliufyata?
Watanzania katika Kipindi hiki tunapaswa tuendelee kumuombea Mhe. Dokta Samia Suluhu Hassan. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni mama anayechapa kazi hasa. Mwenyezi Mungu ametutunuku hivyo tumlinde aendelee kutuneemesha.

Tusiwasililize watu waliyotanguliza mbele matumbo yao kuendekeza njaa. Watu hao wako tayari kufanya chochote hata kama kwa kusababisha uvunjifu wa Amani kwa maslahi ya matumbo yao.
Tunapaswa kutambua na kukumbuka kuwa Tanzania imejengwa kwa misingi madhubuti. Tuendelee kuenzi misingi tuliyoachiwa na Wazee wetu. Tushikamane kwa pamoja tuijenge nchi yetu. Amani ni Kila kitu.
Asante
 
1749446688856.jpg
 
Hata kama akiwa mkali kama mbogo yeye ajue tu hapendwi na wajumbe wakipewa fursa ya kupiga kura hatatoboa
 
Nyie ndio mnampoteza mama yenu,badala ya kumshauri ni kwa namna gani ashughurikie swala la mauaji na utekaji,ufungaji wa makanisa na kuminya haki za kuabudu kwa raia,ukandamizaji wa wapinzani wake waliopo ndani na nje ya chama chake halafu et wewe unakuja na bandiko kama hili,hakika nyinyi machawa hamumpendi kabisa huyu mwenyeki wenu wa mbogamboga
 
Kuna kikundi cha watu hawataki kukuona ukiwa kwenye kiti ulichokalia. Wanaleta Kila aina ya chokochoko. Wanafanya hivyo kwasababu ya upole wako na roho ya huruma ya kimama uliyonayO hivyo wanakuchukulia poa. Nadhani sasa umefika wakati wa kuwa bandidu na kutocheka na "wowote" Manyang'au hawana maana. Ukichekanao utavuna mabua.

Nyuma yao wako wengi, hao wametangulizwa kupima kina cha maji. Usichukulie poa endelea kukaza kwa maslai ya Watanzania. Kazi zako zinaonekana, Tanzania inabadilika kwa kasi sana. Kila kona Kuna miradi na keki ya taifa unaigawa kwahaki kabisa. Kila Mkoa, Wilaya, Kata, Kijiji, Kitongoji na Mtaa unaonekana kupitia kazi zako.

Wananchi Wanafanyakazi na kuishi kwa amani. Wafanyabiashara wana Amani na hela zao Sasa hivi hazifichwi majumbani bali zinahifadhiwa BenkI. Zile kesi za uhujumu uchumi zimekwisha. Kodi zinalipwa na rekodi zinavunjwa.
Watumishi wanapandishwa Madaraja kila mwaka kwa mujibu wa mwongozo na kwa haki. Wale wanaosafiri kikazi wanalipwa stahiki zao vizuri na zimeboreshwa. Watu Wana chapa kazi na mioyo yao imetulia. Utoaji wa huduma umeimarika.Waswahili wanasema Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Ukweli Lazima uzungumzwe. Mama amenyooka na hataki dhulma.

Vizazi na vizazi vitamkumbuka, amefanya maajabu mengi tena ndani ya muda mfupi tofauti na matarajio. Mambo aliyoyafanya kiukweli hamithiliki. Kiukweli anastahili kongole. Mbele ya Watanzania hana deni. Ameweza kutubusha katika Kipindi kigumu. Ama kwa hakika Mama Samia ni Akili kubwa. Anajua kutafuta hela na kuzitumia kwenye miradi yenye tija kwa taifa. Tuzo aliyopewa na Bunge inamstahili.

Kazi anachapa na Miradi ya Maendeleo imetapakaa Kila mahali. Mahosipitali pamoja na vituo vya Afya vimetapakaa kila mahali hadi kule kwetu Namtumbo, ukienda pale Migelegele utaiona. Hapo hujazungumza kuhusu miradi ya Maji, Umeme, Barabara, Viwanja vya ndege, Madaraja, DART, SGR nk
Eti Sasa kuna vidudu mtu wanajitokeza kutaka kuleta chokochoko. Tanzania ni nchi ya Amani na Watanzania wana taka Amani. Uroho wa madaraka wa baadhi ya watu usisababishe kuivuruga Amani yetu. Upole wa Mtu usitafusiriwe kama ujinga

bali ni staha iliyojengeka na ndani ya mtu husika na si vinginevyo. Si kila mtu amejaliwa. Siku staha ikiisha na mtu huyo akaamua kuvaa rangi yake halisi unaweza kutamani Dunia ipasuke uingie uingie ndani yake. Tumshukru Mwenyezi Mungu kwa kutupa Rais Muungwana vinginevyo ingekuwa balaa. Duniani waliyojaliwa subira na ustahimilivu ni wachache. Mkipata Viongozi wa aina hiyo wanapaswa kushikiliwa haswa.

Kitu cha kutambua siku zote ni kuwa, Tanzania ni nchi kubwa na yenye watu wengi hivyo inaweza kwenda hata bila wewe kuwepo. Kwahiyo, huna haja ya kujipa umuhimu kuliko Watanzania wengine. Ndiyo maana kipindi cha Mwamba hukuweza kusikia chokochoko yoyote, wote kimya waliufyata?
Watanzania katika Kipindi hiki tunapaswa tuendelee kumuombea Mhe. Dokta Samia Suluhu Hassan. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni mama anayechapa kazi hasa. Mwenyezi Mungu ametutunuku hivyo tumlinde aendelee kutuneemesha.

Tusiwasililize watu waliyotanguliza mbele matumbo yao kuendekeza njaa. Watu hao wako tayari kufanya chochote hata kama kwa kusababisha uvunjifu wa Amani kwa maslahi ya matumbo yao.
Tunapaswa kutambua na kukumbuka kuwa Tanzania imejengwa kwa misingi madhubuti. Tuendelee kuenzi misingi tuliyoachiwa na Wazee wetu. Tushikamane kwa pamoja tuijenge nchi yetu. Amani ni Kila kitu.
Asante
nikisema kwa ukweli wote na kwa unyenyekevu mkubwa, wewe ni moja ya watu waliompoteza rais, au aina yako ndio wapo kule kwenye washauri, wanaamini mabavu kwa watu wazima yanasaidia. ni ujinga mkubwa sana mlio nao. tangu muanze mabavu ya kunyamazisha watu, kuua watu, kuteka watu,mmefanikiwa nini? mbona mmeongeza pilipili? mngesikiliza wananchi mkaja mezani na kufanya yale wanayotaka mngepungukiwa nini?

mfano, gwajima alishauri muache kuteka na kuua,mmefungia kanisa na akaunti za kanisa, je? msingefunga mngepungukiwa nini? mbona ndio mngepata credit? sasa mlipofunga mmefanikiwa nini? au ndio mmegeuza mioyo yote ya watanzania hasa wakristo sawa wanajiona wapo under attack? kwa sababu hakuna msikiti umefungwa ila makanisa, tena kwa sababu isiyo ya msingi. naamini yule anayemshauri mama mambo ya aina hii, ya kuunda vikundi vya kuteka na kuua, amempoteza na kumharibia sana. mama mwenyewe atakuwa anajua hili na anajilaumu. moto aliouwasha, utamsumbua sana hata akipata urais kwa kulazimisha. na wale aliowafungia kanisa na kuwapiga virungu, wameendelea kushitaki kwa Mungu. kwa sababu wao hawana virungu.
 
Kuna kikundi cha watu hawataki kukuona ukiwa kwenye kiti ulichokalia. Wanaleta Kila aina ya chokochoko. Wanafanya hivyo kwasababu ya upole wako na roho ya huruma ya kimama uliyonayO hivyo wanakuchukulia poa. Nadhani sasa umefika wakati wa kuwa bandidu na kutocheka na "wowote" Manyang'au hawana maana. Ukichekanao utavuna mabua.

Nyuma yao wako wengi, hao wametangulizwa kupima kina cha maji. Usichukulie poa endelea kukaza kwa maslai ya Watanzania. Kazi zako zinaonekana, Tanzania inabadilika kwa kasi sana. Kila kona Kuna miradi na keki ya taifa unaigawa kwahaki kabisa. Kila Mkoa, Wilaya, Kata, Kijiji, Kitongoji na Mtaa unaonekana kupitia kazi zako.

Wananchi Wanafanyakazi na kuishi kwa amani. Wafanyabiashara wana Amani na hela zao Sasa hivi hazifichwi majumbani bali zinahifadhiwa BenkI. Zile kesi za uhujumu uchumi zimekwisha. Kodi zinalipwa na rekodi zinavunjwa.
Watumishi wanapandishwa Madaraja kila mwaka kwa mujibu wa mwongozo na kwa haki. Wale wanaosafiri kikazi wanalipwa stahiki zao vizuri na zimeboreshwa. Watu Wana chapa kazi na mioyo yao imetulia. Utoaji wa huduma umeimarika.Waswahili wanasema Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Ukweli Lazima uzungumzwe. Mama amenyooka na hataki dhulma.

Vizazi na vizazi vitamkumbuka, amefanya maajabu mengi tena ndani ya muda mfupi tofauti na matarajio. Mambo aliyoyafanya kiukweli hamithiliki. Kiukweli anastahili kongole. Mbele ya Watanzania hana deni. Ameweza kutubusha katika Kipindi kigumu. Ama kwa hakika Mama Samia ni Akili kubwa. Anajua kutafuta hela na kuzitumia kwenye miradi yenye tija kwa taifa. Tuzo aliyopewa na Bunge inamstahili.

Kazi anachapa na Miradi ya Maendeleo imetapakaa Kila mahali. Mahosipitali pamoja na vituo vya Afya vimetapakaa kila mahali hadi kule kwetu Namtumbo, ukienda pale Migelegele utaiona. Hapo hujazungumza kuhusu miradi ya Maji, Umeme, Barabara, Viwanja vya ndege, Madaraja, DART, SGR nk
Eti Sasa kuna vidudu mtu wanajitokeza kutaka kuleta chokochoko. Tanzania ni nchi ya Amani na Watanzania wana taka Amani. Uroho wa madaraka wa baadhi ya watu usisababishe kuivuruga Amani yetu. Upole wa Mtu usitafusiriwe kama ujinga

bali ni staha iliyojengeka na ndani ya mtu husika na si vinginevyo. Si kila mtu amejaliwa. Siku staha ikiisha na mtu huyo akaamua kuvaa rangi yake halisi unaweza kutamani Dunia ipasuke uingie uingie ndani yake. Tumshukru Mwenyezi Mungu kwa kutupa Rais Muungwana vinginevyo ingekuwa balaa. Duniani waliyojaliwa subira na ustahimilivu ni wachache. Mkipata Viongozi wa aina hiyo wanapaswa kushikiliwa haswa.

Kitu cha kutambua siku zote ni kuwa, Tanzania ni nchi kubwa na yenye watu wengi hivyo inaweza kwenda hata bila wewe kuwepo. Kwahiyo, huna haja ya kujipa umuhimu kuliko Watanzania wengine. Ndiyo maana kipindi cha Mwamba hukuweza kusikia chokochoko yoyote, wote kimya waliufyata?
Watanzania katika Kipindi hiki tunapaswa tuendelee kumuombea Mhe. Dokta Samia Suluhu Hassan. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni mama anayechapa kazi hasa. Mwenyezi Mungu ametutunuku hivyo tumlinde aendelee kutuneemesha.

Tusiwasililize watu waliyotanguliza mbele matumbo yao kuendekeza njaa. Watu hao wako tayari kufanya chochote hata kama kwa kusababisha uvunjifu wa Amani kwa maslahi ya matumbo yao.
Tunapaswa kutambua na kukumbuka kuwa Tanzania imejengwa kwa misingi madhubuti. Tuendelee kuenzi misingi tuliyoachiwa na Wazee wetu. Tushikamane kwa pamoja tuijenge nchi yetu. Amani ni Kila kitu.
Asante
Ukali gani zaidi ya kujipitisha kugombea urais? Au aonyeshe ukali kwa kujitoa?
 
🚮
 
Bosi kudeal na watu wajina ni kazi sana. Unajua hii kitu hata kipindi kile tulimuomba Dkt Samia asidhani Dkt Magufuli aliagiza watu wauawe bali kilikuwa kama kikundi cha kumchafua ila hata yeye aliamini Dkt Magufuli alikuwa muuaji ndiyo maana akatoa kauli ya watu kuokotwa kwenye viroba. Sasa yeye ndiyo watu wanasema anaua sana na wengi wanatupwa maporini kwenye viroba. Tatizo bosi ni kubwa mno. Dkt Samia hana tatizo kabisa ila njia zake za kuwathibiti wanaopotosha ndiyo siyo sahihi kabisa
 
Usichukulie poa endelea kukaza kwa maslai ya Watanzania...
Sisiemu ina hazina ya machawa wa ajabu sana,

Kwa hiyo ufisadi, utekaji, ufir*ji, mauaji, wizi na maovu mengi yanayolalamikiwa na wananchi mnayatekeleza kwa maslahi ya Watanzania?
 
Kuna kikundi cha watu hawataki kukuona ukiwa kwenye kiti ulichokalia. Wanaleta Kila aina ya chokochoko. Wanafanya hivyo kwasababu ya upole wako na roho ya huruma ya kimama uliyonayO hivyo wanakuchukulia poa. Nadhani sasa umefika wakati wa kuwa bandidu na kutocheka na "wowote" Manyang'au hawana maana. Ukichekanao utavuna mabua.

Nyuma yao wako wengi, hao wametangulizwa kupima kina cha maji. Usichukulie poa endelea kukaza kwa maslai ya Watanzania. Kazi zako zinaonekana, Tanzania inabadilika kwa kasi sana. Kila kona Kuna miradi na keki ya taifa unaigawa kwahaki kabisa. Kila Mkoa, Wilaya, Kata, Kijiji, Kitongoji na Mtaa unaonekana kupitia kazi zako.

Wananchi Wanafanyakazi na kuishi kwa amani. Wafanyabiashara wana Amani na hela zao Sasa hivi hazifichwi majumbani bali zinahifadhiwa BenkI. Zile kesi za uhujumu uchumi zimekwisha. Kodi zinalipwa na rekodi zinavunjwa.
Watumishi wanapandishwa Madaraja kila mwaka kwa mujibu wa mwongozo na kwa haki. Wale wanaosafiri kikazi wanalipwa stahiki zao vizuri na zimeboreshwa. Watu Wana chapa kazi na mioyo yao imetulia. Utoaji wa huduma umeimarika.Waswahili wanasema Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Ukweli Lazima uzungumzwe. Mama amenyooka na hataki dhulma.

Vizazi na vizazi vitamkumbuka, amefanya maajabu mengi tena ndani ya muda mfupi tofauti na matarajio. Mambo aliyoyafanya kiukweli hamithiliki. Kiukweli anastahili kongole. Mbele ya Watanzania hana deni. Ameweza kutubusha katika Kipindi kigumu. Ama kwa hakika Mama Samia ni Akili kubwa. Anajua kutafuta hela na kuzitumia kwenye miradi yenye tija kwa taifa. Tuzo aliyopewa na Bunge inamstahili.

Kazi anachapa na Miradi ya Maendeleo imetapakaa Kila mahali. Mahosipitali pamoja na vituo vya Afya vimetapakaa kila mahali hadi kule kwetu Namtumbo, ukienda pale Migelegele utaiona. Hapo hujazungumza kuhusu miradi ya Maji, Umeme, Barabara, Viwanja vya ndege, Madaraja, DART, SGR nk
Eti Sasa kuna vidudu mtu wanajitokeza kutaka kuleta chokochoko. Tanzania ni nchi ya Amani na Watanzania wana taka Amani. Uroho wa madaraka wa baadhi ya watu usisababishe kuivuruga Amani yetu. Upole wa Mtu usitafusiriwe kama ujinga

bali ni staha iliyojengeka na ndani ya mtu husika na si vinginevyo. Si kila mtu amejaliwa. Siku staha ikiisha na mtu huyo akaamua kuvaa rangi yake halisi unaweza kutamani Dunia ipasuke uingie uingie ndani yake. Tumshukru Mwenyezi Mungu kwa kutupa Rais Muungwana vinginevyo ingekuwa balaa. Duniani waliyojaliwa subira na ustahimilivu ni wachache. Mkipata Viongozi wa aina hiyo wanapaswa kushikiliwa haswa.

Kitu cha kutambua siku zote ni kuwa, Tanzania ni nchi kubwa na yenye watu wengi hivyo inaweza kwenda hata bila wewe kuwepo. Kwahiyo, huna haja ya kujipa umuhimu kuliko Watanzania wengine. Ndiyo maana kipindi cha Mwamba hukuweza kusikia chokochoko yoyote, wote kimya waliufyata?
Watanzania katika Kipindi hiki tunapaswa tuendelee kumuombea Mhe. Dokta Samia Suluhu Hassan. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni mama anayechapa kazi hasa. Mwenyezi Mungu ametutunuku hivyo tumlinde aendelee kutuneemesha.

Tusiwasililize watu waliyotanguliza mbele matumbo yao kuendekeza njaa. Watu hao wako tayari kufanya chochote hata kama kwa kusababisha uvunjifu wa Amani kwa maslahi ya matumbo yao.
Tunapaswa kutambua na kukumbuka kuwa Tanzania imejengwa kwa misingi madhubuti. Tuendelee kuenzi misingi tuliyoachiwa na Wazee wetu. Tushikamane kwa pamoja tuijenge nchi yetu. Amani ni Kila kitu.
Asante
Ina maana damu za Watanganyika alizokunywa hadi sasa bado hazijakata kiu yake ?
 
Kuna calculated accuracy inaendelea ili kumng'oa malkia wa sheba
 
Back
Top Bottom