Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,300
- 4,674
- Thread starter
-
- #181
Asante sanaSema ndio vikitumbukiaga nyongo duuh [emoji38][emoji38]
Utasema ni wale walikuwa wanaitana sweet, honey, baby n.k ?
Sasa imekuwaje jomoni?! [emoji3][emoji28]
Yaani hata kama mmejaliwa watoto wazuri na wenye akili Bora ni kazi bure [emoji108][emoji108]
Mwanaume utaonekana kama maviiii
Mwanamke ulizani wewe ni malkia kumbe wapiii [emoji1787][emoji1787]
Tujifunze tu namna bora ya kuhusiana na Mwanaume wako na nduguze.
Usiseme nimeolegwa na mmoja.
Swala la kujenga au kubomoa mahusiano limeachwa kwa mwanamke.
Hekima msingi wake ni subira na uvumilivu mkubwa.
Kipindi cha kusubiri na kuvumilia ni kipindi cha kujifunza na ku-apply kuamua mambo Kwa usahihi bila majuto .
Ngoja tuwaachie Dunia yenu na huyo mpenzi wako, yaani alishindwa kukupa walau Kijiji kimoja hadi akupe Dunia yote kweli 🤪Siwezi kupunguza
Nimesema wapi 😂😂Kumbe kelele zote hizo unataka uwe umeandikiwa wewe😂😂
HujaniambiaGlenn eti kaka unajua?😂
😂 nina upendo wa kweli kweli kabisa, ila maokoto ndio sinaMwanamme gani unaogopa kuombwa hela😅😅 haipo karibu😂😂
Utasema alikuwepo wakati mnapendanaYani mbona atatokea mtu asimulie yote..🙌🏼🙌🏼
Anakulipa $ ngapi per day Huyo aliyekuzamisha?Jamani hamjambo?
Love is a beautiful thing.
Mama pretty nimezama penzini. Baby wangu upo humu. I love you so much😘😘😘
Umeua😂I love yoo too babe
Thanks for accepting me
Ntakufanya utabasamu kila siku na kila mala
Nakupenda ❤️
By the way nkuletee nini? Ndio natoka hukuu
When spring come, I will marry youJamani hamjambo?
Love is a beautiful thing.
Mama pretty nimezama penzini. Baby wangu upo humu. I love you so much😘😘😘
Uongo bhana.Taswila ya tabasamu lako la asubuhi bado lipo kwenye mboni ya macho yangu
Nakuona hapa kila dakika
U mzuri kama mauwa ya kondeni mpenzi wangu💕💕
Umeua😂😂😂👍🏻
Hiyo ni uwongoo😂😂Uongo bhana.
niliomba vya mwikoPole.. umenyimwaje sasa
Ndio mahabaNgoja tuwaachie Dunia yenu na huyo mpenzi wako, yaani alishindwa kukupa walau Kijiji kimoja hadi akupe Dunia yote kweli 🤪
Si hapo eti kwanini isiwe weweNimesema wapi 😂😂
Eh kumbe🙈 ntamuambia kijana akuambieHujaniambia
Basi utabaki na upendo wako😂 nina upendo wa kweli kweli kabisa, ila maokoto ndio sina
Watu wa jf kwa umbea🙌🏼Utasema alikuwepo wakati mnapendana