Its Tesha
Senior Member
- Oct 6, 2025
- 168
- 604
Kesi ya jinai iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba Humphrey Polepole kupitia Wakili wake Peter Kibatala, inaendelea leo, Jumatano Oktoba 15.2025, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam
Katika kesi hiyo ambayo inasikilizwa chini ya Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam Salma Maghimbi, ambayo washtakiwa wake ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) na wenzake imefunguliwa kufuatia kutoweka kwake mazingira tatanishi kwa Polepole
Kutoka Mahakamani hapo, tunakusogezea kuona namna Mama mzazi wa Humphrey Polepole alivyowasili leo kuja kufuatilia mwenendo wa kesi hiyo.