Wajuzi na wenyeji wa mkoa wa Morogoro hususan pale mjini hebu tusaidieni kuna sehemu inaitwa mama Pierina na Sapna hizi zamani zilikuwa na umaarufu gani?
Sapna ni jumba la sinema zamani siku za karibuni TUNAKOPESHA ltd waliweka ofisi zao hapo mama Pierina simjua ila kuna hotel inatumia jina hilo mtaa huo huo wa station road