Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Mama Ntilie akiharakisha kuelekea eneo lake la biashara mapema asubuhi
jana, maeneo jirani na stesheni ya reli ya Tazara, jijini Dar es Salaam. Picha
na Khalfan Said
hao watu noma wanamake money ile mbaya!Na anafanya marejesho kama kawa!
Unaweza kuta anatunza familia yake yenye zaidi ya watoto Wa 3.
Cha msingi Amani tu,Iwepo nchini mwetu.