ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Baba yako humpendi.... That's not fair.Nampenda sana mama yangu.... I don't want even to imagine my life without her.....ila sometimes we quarrel....huwa najisikia vibaya sana kwa kweli
Baba yako humpendi.... That's not fair.
brain washed creatures. Mnaomdharau baba ambaye mungu amemfanya kichwa cha familia mnamkosea mungu. Hangaikeni na mama peke yake wakati huyo mama anamtegemea huyo baba.