Mama na mwanae wana mshambulia muoaji

Nadhani nnavyoitune akili kumbe mind ni rahisi kuwa vile unataka iwe nikiwaza negative najisemea mwenyewe sometimes nikiwa peke angu natoa sauti kabisa "no negatives" naona kabisa akili inafaulu hili
zamani mtu akisema "no negatives" mpiga picha alikua anamletea picha zake bila negatives

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Huyu mwamba mwenye amekuhadithia hii stori ni kama mimi tu nilivyo na huyu wangu yaani ni stori zilizo fanana kila kitu yaani utofauti ni kidogo sana.

Mimi ninapitia anayopitia mwamba.
 
Rafiki yako kakosea njia mwambie asije kubali kuoa hapo atajuta,aendelee tu kulea mtoto
 
Kwahiyo unafanya matatizo ya mtu Moja kwenye ndoa yake ndio matatizo ya ndoa zote?

Huyo jamaa mbona hajaoa na matatizo hayamuishi?

We unadhani kuacha kuoa ndio kuondoa tatizo.
 
Sure ila kwa sasa wadada wa kukaa nao mpange mambo ni wachache , kuna mitindo mipya ya nywele , simu matoleo ya kijanja na nk , wachache sna wanabahatika hawazid 10.
Duuuh kazi ipo hapo sasa lol.
 
Kabla hujampiga,,,afanye msimamo gani mkuu... Hawa vijana tuwasaidie watakuja kufa ujue.
Women are not romantically attracted to men who are overly supplicant, submissive, polite, or obsequious.

Women are attracted to men who are confident and bold.
 
Women are not romantically attracted to men who are overly supplicant, submissive, polite, or obsequious.

Women are attracted to men who are confident and bold.
 
Muambie jamaa yako kama hana amani aachane nae ikiwa bado mapema. Tusije sikia kesi za mauaji mana vijana hawana uvumilivu kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…