mmmmh!!!
mmmmh!ndo ashindwa hata kufananisha kucha jamani!!!Baba Mmatumbi....mmmmh
Atakuwa amefanana na bibi mzaa baba ya mwana.mmmmh!!!
mmmmh!!!
aiss!waarabu ni wagumu wa kuamini!!!!!mimi mmatumbi tu ndugu yangu!Mkuu wewe Mwarabu nini, mbona unaonekana huamini hili?
aisss!mm hapo ningepima tu kile kipimo!!isikuwa mama alibadilishiwa mtoto hospital!!Atakuwa amefanana na bibi mzaa baba ya mwana.