Mama na mwana

Aswel

Senior Member
May 1, 2012
114
34
Nilikuwa nasikiliza kipindi cha mama na mwana, kunakitu sijakielewa vizuri kuhusu kitovu cha mtoto mchanga kuangukia kwenye kinena/ sehemu za siri kuna athari, wataalamu naomba mnijuze inakuwaje/kuna mechanism gani hadi kuleta athari hizo? na athari hizo ni zipi?
Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom