Mama na mwana

Mama na mwana

nchi imefikia hatua inaongizzwa na mama na mwana. kibaya zaidi hawajui nani atashika nchi miaka ijayo na kuwafilisi mali zao. Arrogance.

Kuna watu hawafikirii kesho yao. Ikiwa malipo ni hapahapa duniani huogopi? sadam alivyokuwa na alivyouwawa huhofii hata vidole inavyooshewa? Gadafi yuwapi?

Hufikirii kabisa wanaokuzuinguka wanakudanganya wao lao kupata na baadae kukuacha kikaangoni?

nilijiwazia unawezaje amrisha watu wako waue binadamu wenzao? unajiamini nini? Mwanao asie na haya mwenye kutanguliza tamaa mbele? hata kuhofia legacy hujali, utaacha picha gani, hivi hutakuja kuwa na wajukuu, vitukuu? huhofii wataishi vipi na watu wanaowachukia. unadhani watawafanya nini wakijua wanaishi kwa mali zao zilizopkwa kwa hiyana?

Ikiwa kakaako anamuda.mfupi duniani, nani atakutetea? hivi unajua watu wengi sana wamechukia?

Vyombo vya dola.
Ni jeshi la wananchi pekee vyeo vya chini wanaamimika, jeshi upande wa juu hakuna uaminifu tena.

vyombo vya habari
ni star media pekee, hivi tbc wanapata matangazo kweli? kuna vyombo vitafilisika. magazeti yanauzima kweli?

Kwa kifupi nchi imesimama haitembei sababu ni mama na mwana
Madini matupu umetema, lakini jitahidi kurekebisha uandishi wako kabla ya kurusha maudhui.
 
Mapambano ya kupigania haki huwa hayaishi mpaka haki inapopatikana, kushughulika na huyu serial killer mama Abdul kila mwenye akili timamu anafahamu kuwa ni wajibu wa kila Mtanganyika.
Haya shughulikeni na Mama Abdul, na endeleeni kupigania hizo haki. Siku mkizipata msitusahau na sisi
 
ili kunisaidia niweke vizuri ungenambia nifanyeje, nitashukuru maana ni msaada mzuri kunisaidia
Cha kufanya ni ku re edit topic nzima pindipo unapomaliza kuandika na kuirusha.

Hii mada tunayoiongelea, jaribu kuirudia mwenyewe kuisoma neno baada ya neno, mwanzo hadi mwisho uone jinsi ikivyosheheni makosa ya kiuandishi!

'Kuhakiki' ndiyo ushauri wangu mkuu.
 
Back
Top Bottom