Habari nzuri kwa kina mama Dar es salaam.. Napenda kuwatangazia na kuwa karibisha kwenye SPECISL EVENT inaitwa MAMA NA MWANA tutaongelea kuhusu afya ya mwanamke anaetarajia kuwa mama(mjamzito), anaetaka kuwa mama mbeleni na afya ya mtoto kabla na bäada ya kuzaliwa na mama pia baada ya kujifungua!.. Itakua JUMAMOSI TAR 20 si y Kukosa.. Ungependa kuhudhulia na kujifunza mengi karibu share pia kwa itakae mfaa. NO 0653540658