Unanhofia mume pekee? Vipi UKIMWI haukuogopeshiWakuu
Hapa nilipopanga naona nimepata jaribu kubwa
Siku za hivi karibuni mama mwenye nyumba hapa amekuwa akinionesha dalili za wazi kabisa za kuhitaji huduma yangu licha ya yeye kuwa na muwe wake nami pia nina mke wangu
Baadhi ya viashiria nilivyovibaini mpaka sasa, kwanza ananitumia meseji zenye mitego sana yaani ata haziendani na umri wake...tunapokuwa nyumbani hapa unakuta tunapishana ananikonyeza
Zaidi hapa ndio nimeamini kabisa huyu mama ananitaka kwa namna yoyote ile leo hii, alikua anakusanya pesa Tsh 15000 kwaajili ya umeme lakini kaniambia kwa awamu hii ananilipia yeye, nami nikasema sawa na ninashukuru sana
wakuu hii dhambi naiona kabsa ila hofu ni huyo mme wake maana tunaheshimiana saaaana! Akijua sijui itakuaje, hapa naona uzalendo unakaribia kunishinda
hapa nahisi kapotea maana mi kwa tabia zangu za kitambo siwaachagi hawa, naona ananifuatilia saaana, soon mtaona manyoya wakuu
Nimeona tu niwape taarifa!
Nawasilisha
As long as si mkeo achana nayeWakuu

Nahisi tutaona manyoya ya aina mbili ya sehemu ya ku-poop ya mwanaume na ya sehemu ya ku-pee ya mwanamke. Yaani haya yote ni kiashiria hawa wote wa jinsia mbili tofauti washaliwa. Muosha huoshwa.soon mtaona manyoya wakuu
Nimeona tu niwape taarifa!
Nawasilisha
Kijana sio lazima ucoment!Nahisi tutaona manyoya ya aina mbili ya sehemu ya ku-poop ya mwanaume na ya sehemu ya ku-pee ya mwanamke. Yaani haya yote ni kiashiria hawa wote wa jinsia mbili tofauti washaliwa. Muosha huoshwa.
Kijana umeweka public hii thread yako ili watu wachangie. Kama nimekukwaza tusameheane zile ndio hisia zangu sio lazima itokee hivyo.Kijana sio lazima ucoment!
funga domo hilo
Mi nilikuambia huo uloufungua utakushinda... Hukuniskiliza... Unaona sasa vijana Wasokua na nidhamu???Kijana sio lazima ucoment!
funga domo hilo
AhahaMi nilikuambia huo uloufungua utakushinda... Hukuniskiliza... Unaona sasa vijana Wasokua na nidhamu???