Mama mwenye nyumba ananitaka

Tambua kila mla vya Wenzio na vyake Pia huliwa,

Hivo Kama umezoa kuzini wake wa wenzako juwa ipo siku mkewe natachukuliwa hapo ndo utatambua uzuri wa MOVIE uliyokuwa ukiwachezea wenzako.
=> Siku mkeo akitoka mungu atamuumbua ili upate kufahamu kuwa amekalishwa ili uone inavouma. ACHA KABISA
 
Ile laini yake ya 0713 si bado anayo? Muombe uitumie kuwasiliana !!
 

Marindda yatahusika ukifumwa na mumewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utafumuliwa marinda mkuu, mpotezee huyo mwanamke, kuwa bize na mambo yako, mapenzi hayana siri, jamaa akija kugundua unamtafuna mke wake huo moto utaweza kuuzima?
 
Kumbe bado tunao watunzi wa story nikajua wameisha
 
Umaliziaji wako unaashiria wewe mzinifu mtaalam hivyo nipe namba za my wife wako nimuandae acje shangaa akikufumania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…