Mama mwenye nyumba ananitaka

Inaonyesha huheshimu ndoa yako na wala haumuheshimu mkeo kabisa, kuna mahali umesema kuwa tatizo ni mumewe tu tena kwa sababu mnaheshimiana. Hii ina maana ya kuwa wewe huna kikwazo, haujafungwa na kitu chochote, ndio kusema kama angekua sio mke wa mtu hata huu UZi usingeandika, ungetafuna tu maana mkeo si kikwazo katika hilo.
Kitu kingine nimegundua kaka unapenda sana mteremko ( kitonga) maana suala la mama kukusamehe pesa ya umeme umeliandika ukiwa unatabasamu.
Kumbuka ya kuwa unachojaribu kufanya kwa mke wa mwenzako na wako anaweza kufanyiwa hivyo hivyo. Pia katika suala kama hilo kabla ya kuangalia huyo mwanamke ameolewa au hajaolewa kwanza angalia wewe mwenyewe umeoa au haujaoa. Jifunze kuheshimu ndoa yako kwanza.
Nakusihi achana na huo mpango, tabia ya kuchepuka tu sio nzr lakini mbaya zaidi wewe unataka kuchepuka na mke wa mtu na kama haitoshi huyo mwanamke unakaa nae nyumba moja.
Uanaume una dhana pana kaka, sio tu kufungua fungua zipu kwa kila mwanamke.
Fikiria kuhusu mkeo, fikiria kuhusu heshima yako, fikiria kuhusu heshima ya ndoa yenu na zaidi fikiria kuhusu heshima iliyopo kati yako na baba mwenye nyumba.
Ukiona maji yamefika shingoni hama nyimba.
Hapo utakua umefanya maamuzi ya kiume.
 
We nawe habari njema kama hiyo unaileta humu?. Wewe kajilie vyako bahati haiji mara mbili ujue
 
Vassiline na K-Y ni vitu muhimu sana kwenye maisha yako kuanzia sasa maana mumewe akikumata muombe tu atumie ivyo vitendea kazi ili asikuache na michubuko.
Ivi kabisa unadiriki kupanga kumzini mke wa mtu aiseeeee.
 
ngoja nikupe mpango mkakati........

kwanza kajilet mwenyew si ndio bhana mpange asamehe kodi ya nyumba

mambo ya sijui bill ya maji cjui umeme uwa iyo kitu

laf anza kutoa burudan mbinue za kutosha mpige stly ambzo ata aziko katika hii dunia piga stly ya trekta

alaf usijal wala nini mumewe akijua mana KY zimefungiwa
 
Sasa hebu fikiria kuwa na wewe mkeo analiwa nje, ndipo utapata jibu la hiyo kadhia yako
 
Kikongwe huyo itakuwa mashavu yake yamelegea sana!Achana na vikongwe ambavyo ladha imekwisha
 
Unatafuta kiki tu mkuu... Mbona mambo ya kawaida sana hayo ..karibu akina mama wenye nyumba wengi wana tabia hio ...angalia usije tu ukaliwa jicho na baba mwenye nyumba!!
 
Nitumie namba yake nimkanye..
 
Umenikumbusha stori ya yusufu na yule mke wa bosi wake.
Kimbia dhambi hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…