Mama mwenye nyumba ananisumbua sana ana anataka nitoke nae

AKILI ZA KUSHAURIWA CHANGANYA NA ZAKO
NB: STAREHE YA DAKIKA KADHAA YAWEZA KUWA CHANZO CHA MATESO YAKO MAISHA YAKO YOTE,IKIMBIE ZINAA!
 
Dah...Mimi binafsi naomba sana uniwie radhi....sina ushauri wowote hapa
 
Halafu tukikaa kijiweni muda mwingine huwa tunashauriana vibaya,

Wewe soma hata baadhi ya comments hapo juu,

Awe na msimamo thabiti,
Huku jf watu wenye mawazo yenye uzima ni wachache saana na wengi hukaa kimya. Wenye mawazo potofu ndio wengi.

Sasa asipo jiongeza na akili zake akitegemea ya humu lazima amle huyo maza.

Ila paka amelileta hapa yupo dilema anataka kumla, ila anataka go ahead...

Msimamo,msimamo,msimamo
 
Nunua KY uwe nayo ndan hata mme wake akkuta itakua rahis kirainishi kitakuepo
 
Mtafune huu enjoy accommodation au hama kama unashindwa kumtafuna. Au wewe damu aichemki?
 
Unayosema ni ya kweli kabisa, humu kila mtu ana akili na mawazo yake, anayeomba ushauri anatakiwa awe makini Sana

Ni msimamo tu
 
Onyesha msisitizo kuwa hukubaliani nae, akiendelea kukusumbua tafuta chumba sehemu nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…