Mama Mwenye Kizaazaa!

Mama Mwenye Kizaazaa!

Jua na Upepo

Member
Joined
May 23, 2018
Posts
35
Reaction score
27
Kila nikipata zangu kishikwambi nikimpeleka maghetoni nilikopanga mke wa baba mwenye nyumba ananinunia, asa najiuliza kwa nini ananuna? Au anataka niende nae wapi jamani, wakati nyumba ya kupanga ninayo na ninaishi kama kwangu.
 
huenda mama ana mabinti zake.

Kwa bahati mbaya zaidi, Unabadilisha wanawake sana .

Kupanga kwako kwake hakumuondolei ubinadamu wake, nafikra anazokua anawawazia hao mademu ,akilinganisha na kumbukumbu za wanawe !!.

So usihisi anakupenda,,,ILA ANACHUKIZWA NA TABIA YAKO YA KUBADILI MADEM.
 
Asa si aseme hata akinipa mwanae mmoja mi natulia tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom