Mama mkwe na mke wangu

Kama hamkuwadii mwanae kwa mabwana wengine ni full shangwe tu kwa mtazamo wangu! Au simu zinapigwa mpaka mida ya kuhondomora na kuwalazim kusitisha zoezi?
 

na ww ni wale wale tu
 
Ni wewe tu hauko karibu na wazazi\mama. Wenzio wanatupigia hivyo hivyo. Huwa tunashauri tu hatuharibu.

Mamamkwe hujamuelewa vizur mtoa maada. Hazungumzii simu za ushauri, bali za kuzogoa soga! Yaan mama na mtoto ni mabest stori haziishi!
 

Kwa maelezo haya, hilo ni tatizo kubwa sana! Kama ni mimi nampa tu makavu live mamamkwe ajue naumia.
 
Huyo ndo mkeo wewe Endelea tu na mambo yako ya kuendesha maisha kwani sometimes it worth nothing kuwa rafiki wa mke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…