Mama mkwe mshikaji


Kapime nae Ngoma, then subiri miezi mitatu, then kapimeni tena. Kama kitu kipo clean, jilipue mwana. Beba Mzigo. Maana Hazitofoutiani sana ni Mapishi. Na huyo Mama Mkwe, ...............................................................! Maana Ng'ombe hazeeki maini. Nadhani umenielewa.
 
hayo maandishi niliyokoleza yananifanya niwe na wasiwasi hapo kuna kamtego na ukithubutu kumgusa atakuganda mpaka utamuoa!!
kumbuka BORA UKOSEE KUJENGA NYUMBA KULIKO KUKOSEA KUOA!!!

halafu wamemshawishi, ila sijui kama yeye binafsi anampenda.
 

bold: akija kuwa mkweo, utaacha kupiga nae stori kama hizo? huyo mama huenda akawa 50 yrs na bado anaweza kuongea na kijana wa kumwoa binti yke wa miaka 20 maneno kama hayo, mkwe majanga.

hata uliposema unaomba kumgegeda?
nyekundu: kwa nini wakushawishi? :A S-confused1:watakushawishi mangapi? kama wamemset, watamset mangapi? wakimset akucheat? usimdharau mbayuwayu......
 
Ndiyo huo ni mtego ambao wao tayari wanafahamu matokeo yake ambayo yana maslahi binafsi kwao ndo maana wakakushawishi. Pia angalia mahusiano yako na mkweo mtarajiwa siku za usoni yasije kuleta matatizo kwenye ndoa iwapo utkubali.
  • Mkweo ambaye unadiriki kumtamkia neno papuchi kwa jina lake sahihi,naye akaona kawaida, je kutakuwepo na kuheshimiana huko mbeleni? Na kwa nini wewe umtamkie papuchi, ulikuwa na lengo gani?
  • Kama mmefikia hatua hiyo kwa nini akupe mke?
  • Mitego itakoma baada ya kuoa au itaendelea?
  • Wewe mwenyewe bila kushauriwa na mtu una mtazamo upi? Umempenda huyo binti? Kwa lipi? Kwa kuwa na wewe una mtazamo na malengo yako ktk maisha, je mtaendana? Si kila kitu lazima uamuliwe na wengine, heshimu mawazo na hisia zako,vinginevyo jiandae kuwa mtumwa wa wenye maamuzi yao juu ya maisha yako.
  • Unaweza kumwuliza kwa nini ameamua kukupa mke ili uweze kung'amua lengo lake ni lipi?
Pia angalia usije baada ya kuoa, ukawa fundi wa kujenga boma wakati huohuo unaezeka paa.
 
julius mahinya
Unamtaka nani kati yao kwani:
Umesema mama mkwe mnatajiana hata majina ya vitu vya ndani;
Binti naye anataka uchumba ;
 
Last edited by a moderator:
Hiiii mwezi wa kumnamoja hihihi. .
 
siku zote ulipokuwa unapiga story na mama mkwe ulikuwa huna mwanamke je ?uyo best ma mkwe hakuwahi kumuona mwanamke wako.kama anamjua au ulishawahi kumuhadithia kuwa una uhusiano na mwanamke mwengine kuwa macho zaidii
 
Hakuna mke hapo atakuwa na akili za kushikiwa wewe piga tuuuuu halafu anza zako mbele
 
Kikawaida, huwa tunapaswa kuheshimu mama wakwe zetu kama mama zetu waliotuzaaa/waliotulea. Najifotolesha picha kuwa mie ndio huyo mke halafu mume wangu na mama yangu ni ma-bestee ile kinoma...wa-kutaniana hadi kutaja sehemu nyeti kwa uwazi. Halafu mama akija kwetu unaweza kuta yuko busy na mume wangu aka besti-ake kuliko mie mwanae?? :thinking:Chagua moja kijana - You can't have it all. Just out of curiosity - Huyo mama ana mume?
 
dogooo...kula mzigo huo..marafiki zako hao "maanti" wamesubiri uwaombe papuchi wanaona unachelewa sasa kukujaribu kama jogoo wako anawika wamekutupia mtoo wao kama chambo...na ukimla tuu anawasimulia jinsi jogoo wako anavyopiga kokoriko na wao wanaanza kutaka uwatafune...

unapimwa urijali dogo gutukaaaa..kula mzigo huo na tena piga section zote A NA B...ili akiwasimulia mama zake ambao ndio "mashoga zako"...watarajie kupata dozi kama uliyompa-chambo wao.
 

haya mkuu nimekuelewa!
 

Mkuu nimekuelewa sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…