Mama mkwe apinga mwanae kuolewa, aaibika

Mama mkwe apinga mwanae kuolewa, aaibika

Hii mada inahitaji neno kutoka kwa wahenga!

Sent from my HTC Desire 820G PLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 
usilazimishe ndoa. ukiona mzazi amekataa usioolewe au kuoa mtu, achana naye kabisa huyo binti, wazazi huwa na laana. kuna raha yake kupewa baraka zote za wazazi kwenye ndoa. mkeo asije tembea kwenye laana ya mamaa hadi uzeeni ukahangaika nayo hadi uchoke.
Vp kuhusu upande wa wazazi wa mwanaume pia ikitokea wanakataa kijana wao asimuoe binti flani na kigezo kikubwa ni kabila.Unafanyaje hapa.
 
Back
Top Bottom