Phenomenon Lady
JF-Expert Member
- Nov 19, 2013
- 407
- 245
Nilikuwa na mpenzi wangu tulisoma wote chuoni na tulipendana sana kiasi kwamba nilikuwa namgaramia kwa kiasi kikubwa na kuna kipindi aliumwa akalazwa hospitalini mimi nikawa siattend vipindi kwa ajili ya kumuhudumia yeye,Zaidi nilishaenda nae kwao japo sikwenda kwa utambulisho rasmi lakini wazazi wake walielewa kuwa mimi ni mtarajiwa kwa binti yao!Wazazi wake walitokea kunipenda saana hasa mama mkwe ndiyo alikuwa ananipenda mpaka naogopa yani nikienda kwao napokelewa kama Rais vile sasa sijui ni kwa sababu nilikuwa naprovide mahela sana ila nachojua nilikuwa napendwa na hao wazazi! Tuliporejea chuoni kwa masomo mwenzangu tabia yake ikaanza kubadilika akawa anaondoka chuoni sometimes haniagi na nikimpigia simu hapokei!mi nikawa nashinda kumtafuta kila kona ya hosteli bila kupata!Nikaja kuambiwa kuwa jamaa yangu wa karibu ambaye ni mfanya biashara alikuwa akitoka naye! Mi sikuamini!Hali iliendelea hivyo mpaka mimi nikaja kuhitimu masomo yeye nikamwacha akimalizia mwaka wake wa mwisho nilipoondoka mambo kwake yakazidi kuwa balaa alikuwa anatembea na yeyote atakayemtangulizia pesa!Nilikuja kusikia kuwa ametembea na mfagia vyoo vya hosteli akampa 60elfu! Hapo mi niliamua kumpiga chini baada ya kugundua ukweli wa mambo anayoyafanya! Sasa wazazi wake bado naendelea kuwa na mahusiano nao mazuri sometimes nawatumia pesa za matumizi licha ya kwamba wanajua binti yao sipo naye ktk mahusiano ya kimapenzi zaidi ya mawasiliano na tunaitana kaka na dada! Sasa Mama yake alinipigia simu akaniuliza "endapo binti yake atakuwa amebadilika kitabia na akataka turudiane Je niko tayari?" Mi nimemjibu sipo tayari,Basi tokea hapo yule mama ananing'ang'aniza akanambia nimwoe hata mdogo wake na yule mdada niliyekuwa naye! Sasa wadau naomba ushauri nifanyaje manake napatwa na kigugumizi manake hata huyo mdogo wake ni mzuri sana wa umbo ila sijajua tabia yake!Na je ntakuwa sahihi endapo nitaoa mdogo mtu!?
Ni kweli unachosema lakini yeye bado hajamaliza starehe zake mara ananitumia picha yuko na jamaa yake huko Kenya mara mwingine ni Muhindi wote hao ananambia niwaite mashemeji zangu! Tena ananifanyia makusudi tu anatuma picha kila akijisikia kwenye whatsup account yangu!Huku Dar kwa mara ya kwanza nilimleta mimi lakini sasa hivi kumbi zote za starehe na kona zote za mjini anazijua!
Usijiendekeze kwasababu umeweza kuwanunua familia nzima.
Hutaweza kununua moyo wa mtu...hizo ni tamaa tu.
Fungua kurasa mpya na vijipesa vyako...acha hizo-ni za kizamani(eti kupiga dada na mdogoake)
We farasi Kweli,unatanguliza mpunga? Utapewa mpaka binamu ungekuwa Huna ela Jr ungeambiwa hayoo tafakari chukua hatua,au hilo kinsman ligegede tu kwani kitugani?
Mbona unajiuliza mwenyewe tena? au ndo kuchanganyikiwa, unaitwa Powel Mizengo alau unajiuliza tena "unanishauri vipi" angalia hapo chini
By Powel Mizengo
Upo sahihi lakini sikuwa na maana ya kuwadharau watu wa aina hiyo ila iliniuma kwa kunidharirisha mimi kwanza huyo jamaa mwenyewe ni bubu alafu wkt mi nipo chuoni alikuwa mtu wangu sana ambae namwagiza mambo yangu mengi tu! Kuhusu mamamkwe nami nilikuwa na mtazamo kama wako labda huenda anataka kulipa fadhila kwani bado mpaka sasa nawatumia pesa pindi waniombapo nami huwa sina shida nawapa! Ndiyo hapo sasa nikizingatia niliyotendwa na binti yake nashndwa kutoa maamuzi ya kuoa mdogo mtu!
Sasa we unanishauri vipi ndugu yangu?
Nilikuwa na mpenzi wangu tulisoma wote chuoni na tulipendana sana kiasi kwamba nilikuwa namgaramia kwa kiasi kikubwa na kuna kipindi aliumwa akalazwa hospitalini mimi nikawa siattend vipindi kwa ajili ya kumuhudumia yeye,Zaidi nilishaenda nae kwao japo sikwenda kwa utambulisho rasmi lakini wazazi wake walielewa kuwa mimi ni mtarajiwa kwa binti yao!Wazazi wake walitokea kunipenda saana hasa mama mkwe ndiyo alikuwa ananipenda mpaka naogopa yani nikienda kwao napokelewa kama Rais vile sasa sijui ni kwa sababu nilikuwa naprovide mahela sana ila nachojua nilikuwa napendwa na hao wazazi! Tuliporejea chuoni kwa masomo mwenzangu tabia yake ikaanza kubadilika akawa anaondoka chuoni sometimes haniagi na nikimpigia simu hapokei!mi nikawa nashinda kumtafuta kila kona ya hosteli bila kupata!Nikaja kuambiwa kuwa jamaa yangu wa karibu ambaye ni mfanya biashara alikuwa akitoka naye! Mi sikuamini!Hali iliendelea hivyo mpaka mimi nikaja kuhitimu masomo yeye nikamwacha akimalizia mwaka wake wa mwisho nilipoondoka mambo kwake yakazidi kuwa balaa alikuwa anatembea na yeyote atakayemtangulizia pesa!Nilikuja kusikia kuwa ametembea na mfagia vyoo vya hosteli akampa 60elfu! Hapo mi niliamua kumpiga chini baada ya kugundua ukweli wa mambo anayoyafanya! Sasa wazazi wake bado naendelea kuwa na mahusiano nao mazuri sometimes nawatumia pesa za matumizi licha ya kwamba wanajua binti yao sipo naye ktk mahusiano ya kimapenzi zaidi ya mawasiliano na tunaitana kaka na dada! Sasa Mama yake alinipigia simu akaniuliza "endapo binti yake atakuwa amebadilika kitabia na akataka turudiane Je niko tayari?" Mi nimemjibu sipo tayari,Basi tokea hapo yule mama ananing'ang'aniza akanambia nimwoe hata mdogo wake na yule mdada niliyekuwa naye! Sasa wadau naomba ushauri nifanyaje manake napatwa na kigugumizi manake hata huyo mdogo wake ni mzuri sana wa umbo ila sijajua tabia yake!Na je ntakuwa sahihi endapo nitaoa mdogo mtu!?
Nilikuwa na mpenzi wangu tulisoma wote chuoni na tulipendana sana kiasi kwamba nilikuwa namgaramia kwa kiasi kikubwa na kuna kipindi aliumwa akalazwa hospitalini mimi nikawa siattend vipindi kwa ajili ya kumuhudumia yeye,Zaidi nilishaenda nae kwao japo sikwenda kwa utambulisho rasmi lakini wazazi wake walielewa kuwa mimi ni mtarajiwa kwa binti yao!Wazazi wake walitokea kunipenda saana hasa mama mkwe ndiyo alikuwa ananipenda mpaka naogopa yani nikienda kwao napokelewa kama Rais vile sasa sijui ni kwa sababu nilikuwa naprovide mahela sana ila nachojua nilikuwa napendwa na hao wazazi! Tuliporejea chuoni kwa masomo mwenzangu tabia yake ikaanza kubadilika akawa anaondoka chuoni sometimes haniagi na nikimpigia simu hapokei!mi nikawa nashinda kumtafuta kila kona ya hosteli bila kupata!Nikaja kuambiwa kuwa jamaa yangu wa karibu ambaye ni mfanya biashara alikuwa akitoka naye! Mi sikuamini!Hali iliendelea hivyo mpaka mimi nikaja kuhitimu masomo yeye nikamwacha akimalizia mwaka wake wa mwisho nilipoondoka mambo kwake yakazidi kuwa balaa alikuwa anatembea na yeyote atakayemtangulizia pesa!Nilikuja kusikia kuwa ametembea na mfagia vyoo vya hosteli akampa 60elfu! Hapo mi niliamua kumpiga chini baada ya kugundua ukweli wa mambo anayoyafanya! Sasa wazazi wake bado naendelea kuwa na mahusiano nao mazuri sometimes nawatumia pesa za matumizi licha ya kwamba wanajua binti yao sipo naye ktk mahusiano ya kimapenzi zaidi ya mawasiliano na tunaitana kaka na dada! Sasa Mama yake alinipigia simu akaniuliza "endapo binti yake atakuwa amebadilika kitabia na akataka turudiane Je niko tayari?" Mi nimemjibu sipo tayari,Basi tokea hapo yule mama ananing'ang'aniza akanambia nimwoe hata mdogo wake na yule mdada niliyekuwa naye! Sasa wadau naomba ushauri nifanyaje manake napatwa na kigugumizi manake hata huyo mdogo wake ni mzuri sana wa umbo ila sijajua tabia yake!Na je ntakuwa sahihi endapo nitaoa mdogo mtu!?
Huyo hafai kabisa wala hana sifa za kuwa mke otherwise kama sifa ya mke mwema ni sura na umbo! Mwache UKIMWI utamwonyesha kituo cha mwisho cha starehe za ujana!
Hivi wewe umesoma chuo kipi? Mwanafunzi wa chuo ndio anaandika namna hii?
Hicho ni chuo cha makanjanja na wazee wako walipoteza wakati na fedha zao bure kukupa elimu ambayo huwezi kuitumia hata kwa kuandika sawa.
Huwezi kumuoa mtu au kuolewa na mtu kwa kumuonea huruma
"marry some one u cerebrate not tolerate" umenielewa mkuu?
Kula mama mkwe habari itaishia hapo