Mama mkwe amemshawishi mtoto wake aachane na mm na kumuambia km ataendelea kuishi na mimi atamuachia radhi mtoto wake nilipompigia cm mama mkwe akasema ndio nimemwambia nikamuuliza sababu gan akasema sina sababu sitaki tu na mtoto wake kaondoka kweli hii wiki ya 2 sasa hataki kurudi kwa mume wake anasema anaogopa maneno ya mama yake.naomba nisaidieni nifanyaje jamani na bado nampenda mke wangu.?