Mama mkwe anahatarisha ndoa yangu

Mama mkwe anahatarisha ndoa yangu

Mullocoz

Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
23
Reaction score
2
Mama mkwe amemshawishi mtoto wake aachane na mm na kumuambia km ataendelea kuishi na mimi atamuachia radhi mtoto wake nilipompigia cm mama mkwe akasema ndio nimemwambia nikamuuliza sababu gan akasema sina sababu sitaki tu na mtoto wake kaondoka kweli hii wiki ya 2 sasa hataki kurudi kwa mume wake anasema anaogopa maneno ya mama yake.naomba nisaidieni nifanyaje jamani na bado nampenda mke wangu.?
 
Kwa maelezo yako ntakusaidia ukinijibu swali hili umemlipia mahari?au umeoa kienyeji
 
sitaki kuamini kama ni mkeo wa ndoa bwana MULOKOZI. Wahaya hatupo ivyo bwana komaa
 
Ndoa ni kati ya mume na mke mama mkwe anahusika vipi?mke anatakiwa amsikilize mume wake iweje mama mkwe anasikilizwa kuliko mume?...Wewe mwanaume unaacha mkwe wako anakupanda kichwani..hapo unatakiwa uoneshe who is the man in the house....wapige kelbu moja tu....huyo mama alikuwa na usemi na mwanawe alipokuwa kwake hajaolewa sasa keshaolewa hana chake!!
 
Mama mkwe amemshawishi mtoto wake aachane na mm na kumuambia km ataendelea kuishi na mimi atamuachia radhi mtoto wake nilipompigia cm mama mkwe akasema ndio nimemwambia nikamuuliza sababu gan akasema sina sababu sitaki tu na mtoto wake kaondoka kweli hii wiki ya 2 sasa hataki kurudi kwa mume wake anasema anaogopa maneno ya mama yake.naomba nisaidieni nifanyaje jamani na bado nampenda mke wangu.?

Hizi ni baadhi ya karakta za mtu mwenye jinsia ya kike kufikia kuitwa mke

Awe na uwezo wa kuamua mambo ya kifamilia pale Mume anapokuwa hayupo

Awe na uwezo wa kujisimamia mwenyewe kwenye masualayake na familia yake

Awe na uwezo wa kulea watoto vyema

Awe na uwezo wa kusimamia yale anayoamini kuwa sahihi

Awe na uiwezo wa kumshauri mumewe mambo mema

Awe na uwezo wa kusimamia uhusiano wake na wa ndugu zake na ndugu wa mume uwe mzuri

Dogo kabla hujaja hapa na kulia lia kuwa unampenda huyo unaedai ni mkeo hebu kagua kama anafit kwenye hizo karakta hapo juu,kama anapwaya kimbia na usiangalie nyuma dogo!
 
Hakupendi na ulimlazimisha kumuoa, tafuta anaekupenda!
 
Kuna ulichoficha hapa,haiingii akilini mama apokee mahari na familia,ndoa ifungwe then baada ya miezi minne amuamrishe bint yake aondoke hapo kwako.
Kama kweli unahitaji ushauri hebu ikamilishe hii habari ili iwe rahisi watu kukushauri.
 
Huyo mama anamfanya mtoto wake kitega uchumi. Umeoa sasa pesa imekata. Hataki kupoteza investment yake.
Kama unamtaka mkeo muulize huwa anaingiza ngapi kwa wiki/mwezi then uingie mufukoni! wazazi wa .com hao!!
Yupo mmoja mtaani kwetu. Hataki mwanae aolewe. gonga,lipa,tembea mbele. mapenzi yako peleka kwenu!
 
mkuu utam na uchungu unaujua wewe kwa hiyo maamuzi mnayo nyie.nikisema achaneni mara
siku moja tunawakuta kwenye chocho mmenyanyuana miguu kwa raha zenu si itakua aibu kwetu?
 
Back
Top Bottom