Mama mkwe amevunja ndoa yangu

Naomba nikuelekeze ilipo ofisi ya mkemia mkuu wa serikali ukapate uhakika wa mtoto kuwa n wako, mengine utajiongeza
 
Mimi mtuu akidharau mzazi wangu ndio full stop....bora Mara million anidharau mimi...siyo mamangu kipenzi
 
Una akili kweli we mzee? Unawezaje kumrudia mwanamke wa dizaini hiyo? Unajua huyo mwanamke kakuona kama pedi zake? Nadhani ninyi ndio huwa nawatombea wake zenu,mmekuwa democratic sana kwenye ushenzi,no reforms no election
 
Huyo maraya tu hukutakiwa hata umuoe.
Shukuru kakuacha upumue
Alafu umesema katoka kwa wale jamaa jirani pua ndefu.
Huku unadai akaolewe na mnyalu mwenzie kuna mnyalu katoka chigali?
Unachanganya madesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…