Mama mkwe amevunja ndoa yangu

Polee hiyo mimba unauhakika yako??
 
ULIPENDA FIGA NA UZURI WA SURA AMBAVYO HUWA SIO KIGEZO CHA MKE MWEMA SASA ALISHALIJUA HILO NA ANAJUA HUNA JEURI YA KUMFANYA LOLOTE KISA HUJIWEZ KWAKE


HAWEZ KUBADILIKA HUYU HATA MIAKA 30 INAWEZEKANA KAKOSA ALICHOKIFWATA HUKO ....AKITOKEA MWINGINE WA KUMRUBUNI ATAKUSUMBUA UPYA TAFUTA MKE SI HUYO ULIYE NAYE JOMBAA

USIHADAIKE NA RANGI TAMU YA CHAI NI SUKARI 😉😉😉
 
Mpwa vipi ndoa na Rwandese ilisimama au nayo ilikufa ?
 
anatoka kwa rais mreeefu afrika m, kagame? mbona mbele unasema kapata mnyalu mwenzake? umenipunguza hamu ya kusoma
 
Chunguza kwanza kma hana mawasiliano na jamaa yake,kama hana msamehe tu na mwambie nakupa muda nisiporidhika na tabia yako nakupiga chini mazima,msamehe mara sabini kwa ajili ya mwanao, maana waweza mwacha huyo ukapata balaa zaid na mtt akaja teseka
 
BIKRA hukuikuta na uliwekewa papuchi pending kwa kisa hiko basi jua UMELIWA na hakuna uaminifu kwa mtu kama huyo.
Mtu anaedanganya khs sex life yake muogope sana mana utakuja jikuta umekua KITUKO cha mtaa kwa siri za mtu ambazo mtaani kila mtu anajua na ww unaonekana zoba.
 
Na inawezekana akajifungua mtoto wa mnyalu mwenzake
inawezekana kabisa, ndio maana wabongo tunadanganywa sana kwamba ''wana damu kali'',nimechunguza asilimia kubwa ya watu wa kule kwao wanafanana sana.ngoja tuone kama mtoto atakua copy yao, nafikiri ndio ntaanzia hapo...nimefanywa bushoke vya kutosha.enough is enough....kudadeki..
 

dah..! yaani wewe una moyo sana yoote hayo bado unakuja hapa na unataka ushauri kuendelea na jini hilo la subiani?
 
kwa jinsi ninavyojua matokeo ya ndoa ya mwanzoni mwanzoni maswala hayo ni kawaida sana ninachokushauli mrudie mkeo mpe nafasi nyingne
hakuna kitu kizuri duniani kama kumsamehe mkosaji hasa anaeomba msamaha
binadamu sisi hujifunza baada kukosea na tunakuja kuigundua thamani ya mtu baada kumuacha au kutengana nae
na hakuna linaloumiza kama kumkosea mtu na kumdhalau lkn bado huyo mtu akawa anakupenda na kukujali ikitokea akachoka akasepa araf wewe ukaona umepata ahueni na kusema bora
itafika siku utmkumbuka na kuona umuhimu wake
ndo kama huyo mkeo kuna vitu ameviona na amekumbuka umuhimu wako mana kuna vitu vingine unakili moyoni sitaweza kufanyiwa na mwanaume/mke yoyote
so mpe nafasi
na muombe MUNGU akuongoze katika ndoa yenu
 
Pamoja na dharau walizofanyiwa wazazi wako bado tu!!!!

Niliambiwa nisije oa wanawake kutoka kule sikujua kwann. Sasa naanza kupata picha.

Ingekuwa ndo mm kusingekuwa na ndoa tena. Wazazi wang wanathamani kubwa sana
 
vipi ile bikra ilikuwa ya kweli au?? Achana nae huyo alikuwa anajua ticha atamkubali na mimba yake, kumebuma ndo anakutafuta hana namna ingine ndo akakukumbuka
 
Pamoja na dharau walizofanyiwa wazazi wako bado tu!!!!

Niliambiwa nisije oa wanawake kutoka kule sikujua kwann. Sasa naanza kupata picha.

Ingekuwa ndo mm kusingekuwa na ndoa tena. Wazazi wang wanathamani kubwa sana
kutoka wapi mkuu
 
Ukioa mke kutoka kwa KG uee yayari kea yaliyokutokea. Kwanza lazima azae na mnyalu mwenzie, na inawezekana kabisa hata ujauzito sio wako. Pima DNA kwanza. Hao hawako tayari kupoteza ukoo/kabila.
Ukifanya utafiti , wengi waliooa wanyalu wakipima DNA huzimia!
Watoto sio wa kwao!
Una bahati kaonesha makucha mapema asubuhi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…