Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,729
- 4,425
Ni kweli, ni bora lawama kuliko fedheha. kwa alivyoeleza kama atamrudia napata hisia atafanyiwa mambo mabaya zaidi.Mwanamke anitukane kama mbwa ainyanyase kwa jeuri gani?? Hivi wanaume WA hivi mpo kweli?? Ingekua n mm ningepiga talaka na ukoo mzima wasinijue shwain!!
Na inawezekana akajifungua mtoto wa mnyalu mwenzakeMrudie tu, ndiyo ndoa hizi.
Ila fanya uchunguzi kwanza, probably jamaa yake kammwaga na hana pengine pa kwenda.
Na ukute jamaa alikuwa anatoa hela ndefu hadi kwa mama ndiyo maana mama pia alikuzingua.
Ila ujiandae, maana akijifungue akarudi kwenye form atakusumbua tena.
Teh,kuna wanaume wanaonewa na wanawake,watu na ndoa zao...huyo dada kaomba msamaha ili asaidiwe kulea mtoto,na mme anavyompenda atamsamehe tuAmeshajibu hili swali kuwa ilikua usanii tu hakuna cha bikira wala nini,yeye alihudumia majamaa yakawa yanapiga tu.
Kweli ni wachache,visa vinavyoletwa humu na wanaume vinashangaza kwakweli..Wanaume wa kusimama na ku-act kama wanaume ni wa kumulika na tochi dadaangu, trust me
Na Hilo ndo kubwa ukishang'atwa na nyoka ukisikia unyas umetikisika tuu roho juuNi kweli, ni bora lawama kuliko fedheha. kwa alivyoeleza kama atamrudia napata hisia atafanyiwa mambo mabaya zaidi.
Wanaume hadhi yenu inapungua now a days mwanaume n kichwa cha nyumba unakosaje mwelekeo shabash!!Wanaume wa kusimama na ku-act kama wanaume ni wa kumulika na tochi dadaangu, trust me
Amaa kweli kupenda kubaya ILA sio kwa kupenda hukuKwa maelezo yake tu hana ubavu wa kumwacha, umbo linamzuzua
Wanaume hadhi yenu inapungua now a days mwanaume n kichwa cha nyumba unakosaje mwelekeo shabash!!