Mama mkwe amevunja ndoa yangu

"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"...haya mausiano yenu yanaoneka yalijengwa kwenye hisia na matamanio ya kimwili zaidi kuliko upendo wa kiroho....tubu mwombe Mungu akufunulie,aliye kweli mkeo...
 
Naomba kujua km ile bikra alokwambia anayo wakati Wa uchumba ulimkuta nayo!!
 
Ulikatazwa na wazazi wako hukusikia
Akaondoka nyumbani kwa jeuri
Umeenda kwao umetukanwa na kudhalilishwa
Wazazi wako wamekwenda pia wamedhalilishwa
Sasa subiri kuja kutupa mrejesho ukiwa ndani ya jeneza.
Jaman ni mzazi yupi atakaeombwa mkate na mwanae ampe jiwe? Tuwaheshimu na kuwathamin wazazi wetu kwan mara nyingine wao huwa wanatuepusha na laana katika kutafuta wenza wa kuish nao.
 

Hiyo Mimba ni yako lakini? au ndo uko kati ya 49%
 
asante mkuu, tena hapo nime summarize stori nzima.
lengo la kuja hapa kuna great thinkers wengi , wanatoa msaada wa mawazo na kusaidia watu wengi,
thanks
Unatakiwa uwe mwangalifu, pale alipokuletea nyodo alikuwa na mwanaume mwingine na ameona jamaa kamtema ndio anarudi. ni heri kutumia busara sasa kabla mambo hayajawa mabaya baadaye, na hata huyo mtoto ni vizuri ukapima DNA kuthibitisha kama ni wa kwako. wale wanawake wanaotoka kule kwa Rais mrefu wana tabia ya kuzaa wa watu wa kwao hata kama ameolewa ndoa ya kanisani. take it from me, utakuja kuamini siku 1.
 
Achana na Mtutsi wewe Oa wabongo kaka , pia Anza maisha yako upya Achana nae akafie Mbali huko. Au kama ushazoea Shida Rudiana nae . Karibu Sana Musoma Kwetu Sisi Huku Mwanamke Ubapa WA panga kwenda mbele plus Rungu za Miguu.
 
Afu Kinachosumbua wewe Ni Uzuri wao Ngoja Sasa ukome Tata Mura
 
Naomba kujua km ile bikra alokwambia anayo wakati Wa uchumba ulimkuta nayo!!

Ameshajibu hili swali kuwa ilikua usanii tu hakuna cha bikira wala nini,yeye alihudumia majamaa yakawa yanapiga tu.
 
Nimesoma yote hakuna uliposema kama ulimkuta "bikra" kama alivyosema au ronyaronya ikiwezekana tupe tupe ufafanuzi ...yote kwa yote pole kwa yalitokukuta.
 





Naona ulianza kuchoka kuandika' nahisi hata wewe mwenyewe huelewi ulichoandika hapa mwishoni.

Huyo kakuona boya ndio maana ataendelea kukupeleka
Ujanja wa kufanya maamuzi yoyote huna.
 
kaka ukimrudia utakua ni mse... ....kaachwa huko ndo anakurudia..akipata mwingine au jamaa yake akilegeza utalia tena...tafuta mwingine
 
mnazuzuzka na maumbo na kudhani tabia zitavumilika sio kila tabia inaweza kuvumilika umeplay part yako kwa kuwa mwanaume bora Mungu ni shahidi katika hilo kama wewe haukuwa sababu ya yule mwanamke kubehave hovyo Amani ya kristo na iamue moyoni mwako tutakushauri hapa sana lakini mwisho wa yote haya ni maisha yako kaka sikiliza moyo wako kama unaona una nafasi moyoni ya kumsamehe na kumkubali kwa upya huyo mkeo mrudie na mfanye maisha upya
Kama ataendelea na maisha yake ya hovyo na kuendelea kukumbatia wanyarwanda wenzie move on kaka maisha ndiyo haya haya
Kila la heri
 
Ndoa na iheshimiwe na watu wote. Huu kwa kweli ni msala ndugu yangu.
 
Kaka yangu mpaka hapo hebu fanya mambo yako huyo bishost achana nae atakupa Bp bure tena mpe kichogo yeye na familia yake
Kwa maelezo yake tu hana ubavu wa kumwacha, umbo linamzuzua
 
Mwanamke anitukane kama mbwa ainyanyase kwa jeuri gani?? Hivi wanaume WA hivi mpo kweli?? Ingekua n mm ningepiga talaka na ukoo mzima wasinijue shwain!!
Wanaume wa kusimama na ku-act kama wanaume ni wa kumulika na tochi dadaangu, trust me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…