Mama mkwe amenichosha

Kama analipa vywma
Mimi nafikiri
Umpe vigezo na masharti
Kwani ana bei gani?
 
Muheshim mkwe wako jiepushe na tamaa, mama akifanya ivo utamtamani?
 
Tengezeza mazingira ya kuingia nyumbani kwamuda ambao utakukwepesha kumuona kwa muda mrefu napia jaribu kua karibu zaidi na huyo mkeo unapokua nyumbani hapo chochote atakachofanya mkeo ashuhudie ili utakapo amua kumshirikisha mkeo awe nayey anaushahidi flani ambao tayar alisha dhibiti matukio kwa macho yake mana ukifanya ujinga wife atajua uapiga mama na yeye
 
Mpakie kwenye gar ajue unamtoa out ila break ya kwanza mlangon kwake alipotoka
 
Huyo ni kama mama ako acha tamaa utajiabisha mwenyewe
 
hebu mkanyage akuheshimu
 
Pengine kwao ndo walivyo..usikute na bint alisha do na babaze wa kufikia.
Jiulize huyo binti haoni kama mamaye hayuko sawa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…