NDUKI
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 3,440
- 2,450
siku ukirudi na kondom used kwenye wallet naona ataacha kukusachi
'mmmmh heaven...!'
siku ukirudi na kondom used kwenye wallet naona ataacha kukusachi
Ww Heaven ww!!!!!Loh! Ndo nn ss???
Asante sana mtani.....MMU huwa ina vistori fulani hivi kama zile siriz za Kifilipino...
Hii ya leo huenda ni part II na baadaye tutaletewa episode nyingine tuburudike kina siye macho kodokodo...
Kwa umbea wa fasta fasta hebu piteni hapa muone wenyewe hii stori ilipoanzia...
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/601245-mama-mkwe-ananingangania.html
Asante sana mtani.....
huyu ndugu yenu anahitaji kukua kwanza ndo aingie huku, mwambie asiwe na haraka
Kama hukusoma thread iliyopita itakuwa ngumu kuelewa hii!!!Hivyo pita ndg yangu kwani hutakuwa na cha kunishauri!!!Uzi huo ni kwa wale waliohusika kunishauri kwenye last thread!!!
hiyo familia inaonekana ni pesa mbele, kuanzia wazazi hadi watoto, sasa sijui anategemea nini!Na kweli nadhani anapaswa awe mwanaume kwanza maana uvulana wamsumbua...
Kakubali yeye mwenyewe 'kurithishwa' mdogo mtu pasipo shuruti yoyote lakini leo twaja liliwa kina siye...
Nakumbuka ni muda mrefu toka nilipoleta thread yenye Title "MAMA MKWE ANANING'ANG'ANIA". Kama wengi wenu mlivyonishauri,niliupokea ushauri nikachanganya na akili zangu na matokeo yake mi nikaamua kuchukua mdogo mtu!!!kwa sasa nipo naishi na huyo mdogo mtu!!!!Tatizo kubwa ambalo limenifanya nirudi tena kwenu wadau ni hili; Huyu binti imekuwa ni kawaida yake pindi naporudi toka kwenye matembezi yangu na hasa napokuwa nimerudi nimepombeka,yeye anazama kwenye Wallet yangu na kuchota kiasi cha pesa akidhani mi sina kumbukumbu ya kiasi nilichoacha!!!Ameshanifanyia mchezo huu muda sasa!!Si kwamba simwachii pesa za matumizi bali sielewi tatizo lake ni nini kunipekua mifukoni!!! Jamani wadau,huyu binti bado sijalipa mahali(Bride Price) Nilipewa ili kureplace dada mtu ambaye kisa chake nilishawaeleza!!!Na tayari tulikuwa na mipango ya kuoana mwishoni mwa mwaka huu yaani Desemba!!b. Sasa haka katabia kananitatiza!!!!Naomba mchango wenu wa ushauri manake sielewi kama anaweza badilika kweli!!!
Na kweli nadhani anapaswa awe mwanaume kwanza maana uvulana wamsumbua...

Nimependa hiyosiku ukirudi na kondom used kwenye wallet naona ataacha kukusachi
ukweli ni kwamba hukufanya vema kuamua kuishi na mdogo wa mwanamke ambaye ulikuwa unakusudia kumuoa, anyway kwasababu umeshafanya kosa, maji yakimwagika hayazoleki wanasemaga hivyo, ila haya ya kwako yana zoleka.
Kwanza nikuulize, dada mtu response yake baada ya wewe kuamua kuishi na mdogo wake ni ipi? na je anakuita shemeji? na je ikitokea siku mmekumbukana, mnaweza kusita kuendelea kweli? na je, iwapo mkiachana na mdogo huyo mama akikushauri uoe mtoto wa dada yake utasita kukubali? wewe unaoa kwa sababu unapenda au kwasababu unapendwa na ukoo? nakushauri kwanza acha pombe, mrudie Mungu kwa dhati, halafu muombe akupe mke mwema!!!
Huna mke, hapo una Gubegube acha ufala wewe inaelekea Elimu haijakusaidia kitu
Dah sikio la kufa alisikii dawa kwa usahuri wote ule wajf mkuu ulipuza ndio hayo matokeo yake